Mabadiliko ya Uongozi wa Juu CHADEMA Ndio Pona, afueni na ahueni pekee iliyobaki!
tutazunguka zunguka kama wanaisraeli ktk mlima sinai,miaka nenda rudiKweli kabisa, tunahitaji sana chama mbadala kwa CCM, lakini sio CHADEMA ya sasa! Mabadiliko yaanzie kwanza ndani ya CHADEMA ili kiaminike kuleta mabadiliko nchini, vinginevyo tutakaa sana kwenye huu mzunguko usio na mwisho!
Sidhani kama ni sahihi MTU kupenda unapopeda huwezi mshinikiza mpagani kusali kanisani ilhali yy anaamini ktk upagani.nakumbuka kunamtu aliwahi Sena maneno haya;unaweza kuwa mpagani ila unayo kabila.Kipimo cha uendawazim ni kuishabikia chadema.