Tetesi: Mabadiliko TBL

Mfanyabiashara Yoyote unaemjua ww kaa ukijua kodi halali ulipa tu pale anaponunua bia na wale wasio tumia basi hubakiza option chache sana kutopa hii kodi halali
 
Ndo maana double punch na kiroba zitaendelea kuliliwa kila uchao hata kama kuna watu wanasema kuwa ni kilio cha samaki ila Mimi naamini kuna siku the authority may reciprocal their bitter decision regarding kirobaaaaaaaaaa.......jamani zanziiiiiii....jamani sabuni ya roho
Konyagi kisichana imekuwa adimu kila kona huku bapa na jibapa zikiwa hazina dili
 
Ina maana Mimi ninaye nunua "unga" huwa silipi kodi halali.?? Ufafanuzi Tafadhali.
Mfanyabiashara Yoyote unaemjua ww kaa ukijua kodi halali ulipa tu pale anaponunua bia na wale wasio tumia basi hubakiza option chache sana kutopa hii kodi halali
 
Mkuu siku hz ukifanya kautafiti kdg kwenye pub nyingi watu wanatumia sana chupa ndogo, naona hata castle lager wameanza kutengeneza ndogo!
ndio hivyo aslimia 100 wanakunywa chupa ndogo hata Mimi pia huku kanda ya ziwa kuna bia inaitwa balimi extra lager a.k.a " mwendo kasi"inauzwa 1500= watu tumehamia huko ukifika baa kila mtu ana hako kama hana hiyo basi ni prisner lager 1500,kama sio hiyo ni senetor lager 1200,au eagle 1200, hali ni ngumu sana siku hizi pia ukionekana unakunywa castre lager,safari,Kilimanjaro,na zote za 2500= unaonekana mtu flan hivi daaaah tutafika kweli??
 
Afadhali...sisi Maulamaa tunataka wote wenye biashara kharam wafunge biashara zao. Viwanda vya bia vikimalizika watakuja wauza kitimoto laana tululai....
Umeenda vizuri kisha ukaharibu hapo mwisho, kwa kiti moto utasubiri sana, utaswali mpaka upatee sigida ya magoti.
 
Hii ni habari ya kusikitisha aisee, vichupa vidogo tutalewa sangapi sasa? wanataka kutuharibia ndoa zetu hawa mabo ya kukesha baa ya nini jamani
nan anaekesha bar Siku hizi jeuri hiyo akiifanya Leo ndio imetoka tena mpaka baada ya miezi 3 labda pombe yenyewe unauziwa kuanzia saa 10 kwenye bar ukipitiliza mpaka sita usiku askari wa bashite wanakubeba wewe na wateja wako.......Imetait kamba
 
Kwenye kiti moto hapata tetereka coz ni mnyama anayependwa na dini zote tukiacha unafiki
Nilipita sehemu mkuu nikakuta wadau wanauza kilo shilingi 8000. Wakati kuna sehemu nyingine kilo imefika mpaka 11,000/-.
Jamaa akalalamika siku hizi wateja wamepungua sana.
 
Daaa mlevi ni.mlevi tu badala ashukuru kapunguziwa gharama.za kilevi yeye analalamika kuwa Utakuwa kapunguziwa rate ya kulewa haraka...daaa nime amini bora umfadhiri mbuzi utakula mchuzi na sio mwanadamu.
Piga hesabu utagundua per litre chupa ndogo ni ghali kuliko chupa kubwa. TBL wajanja, Mbongo ukimuwekea (mfano) nusu lita kwa tzs 800 na lita moja tzs 1400 atanunua nusu lita akiamini ni bei nafuu.
 
Back
Top Bottom