bantu.garage
JF-Expert Member
- Oct 13, 2015
- 1,436
- 503
Mh.Mhagama alisema Serikali ni ya Ccm.
Wakati Mkubwa wake anasema 'Serikali yangu'Mh.Mhagama alisema Serikali ni ya Ccm.
Duuh hii panga pangua hadi hii half time timu haijafunga goli. WB inasema wananchi milioni kumi na mbili ni masikini hoe hae... Ngoja tuendelee kujipa moyo...
eti amada......tehtehMkuu evansGREATDeal alikuwa anacheka??Mimi sikubahatika kumuona...Ila niliona tu yule jamaa pembeni sijui ni naibu waziri wa nini,akicheka baada ya Amada wa Misungwi kurudi toka kujibu swali na nyongeza
Nasikia jamaa alikuwa ananuka pombe kama umesogelea PIPA la "komba" la kuchachua pombe ya komoni
Hata pale anaposoma alikuwa anakunja kunja uso...Daah kweli siasa ni fitna,jamaa ile hang over aliwekewa Royal Village,watu wakaongeza "ingredients" kwenye glass yake.Massauni akatengenezewa tukio la kumfanya aende Zanzibar kwenye kongamano la Vijana wa Zanzibar University,huku nyuma akabaki mtu mzima peke yake
UKIWA KWA UKAWA! CCM YAZIDI KUSONGA MBELE!Aliyafanya kikwete haya, alibadilisha mawaziri kila uchao lakini hakupata mavuno yaliyo bora, ccm ni ileile hakuna anae faa huko ndani. Bora angebaki mwenyewe na waziri mkuu makini zaidi. Tena kwenye listi angeongezwa Mwakyembe aliekuwa anacheka kama juha wakati waziri mlevi akitoa majibu ni aibu kubwa kama waziri wa sheria apishe tu na yeye.
Ummy ni Waziri bora kabisa. She has been performing well katika Serikali hii mpya ambayo imejaa midume tele.Mpaka sasa ummy ni miongoni mwa mawaziri bora kabisa, huwezi mlinganisha na ndalichako
Ummy ni Waziri bora kabisa. She has been performing well katika Serikali hii mpya ambayo imejaa midume tele.
Anaonekana tu........nadhani alistahili Uwaziri Mkuu kabisa
Aliyafanya kikwete haya, alibadilisha mawaziri kila uchao lakini hakupata mavuno yaliyo bora, ccm ni ileile hakuna anae faa huko ndani. Bora angebaki mwenyewe na waziri mkuu makini zaidi. Tena kwenye listi angeongezwa Mwakyembe aliekuwa anacheka kama juha wakati waziri mlevi akitoa majibu ni aibu kubwa kama waziri wa sheria apishe tu na yeye.