Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,372
- 20,235
Je chakula cha jioni huwa unakula saa ngapi?Lakini nashangaa naongezeka tu uzito ingawa sio kwa kiwango kikubwa. 189cm height, 92 kg weight.
Je huwa unapita muda gani kabla ya kwenda kulala?
Waweza ukafanya yote ila usipokuwa makini na chakula cha jioni utajikuta bado uzito unaongezeka.
Nini cha kufanya.
1. Jioni epuka vyakula vya wanga kiasi kikubwa mfano wali
2. Hakikisha unakula mapema
3. Lala Angalau baada ya masaa mawili (2) kupita tangu ule chakula cha usiku/ jioni