Maazimio ya Sky Eclat 2017

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,720
215,792
Habari za J2 wapendwa

Wengi mnashangaa story nyingi ni za mashost, basi leo nimeleta story ya Sky Éclat. Sky aliongeza uzito kidogo kutokana na mihangaiko ya maisha alipunguza muda wa jogging asubuhi, pia ile dhana ya kunywa glass ya mvinyo na chakula ilipelekea siku kukiwa na msongo wa mawazo na uchovu wa kazi anajikuta amenywa 3/4 ya chupa ya mvinyo.

Mwaka 2017 maamuzi Sky aliyoanza nayo ni:

1. Kuacha nywa mvinyo na pombe kabisa.
2 Kuacha kunywa fizzy drinks zote (soda zote)
3 Kuacha cake na biscuit kama snack badala yake ni kusnack na matunda.
4. Kutumia kijiko kimoja cha sukari katika chai/kahawa
5. Maji kuwa ndiyo kinwaji kikubwa.
6. Jogging ya one hour angalau mara moja kwa wiki.

Manakaribishwa kuweka maamio ya mwaka 2017.
 
Main point ni kwamba umeamua kubana matumizi. Kwenye hiyo list ya kudelete vinywaji na vitafunwa ongezea na kitoweo kimoja kiitwacho nyama na usiendekeze vyakula vya kukaangiza na badala yake kula mboga za majani chukuchuku!
 
Kwavile no 6 umeamua Jogging uwe unafanya 1 hour kwa wiki basi nakushauri na hiyo no 4 punguza zaidi ili iwe nusu kijiko cha Sukari na sio kijiko kamili,

7. Ongeza na muda wa kupumzisha mwili,atleast uwe unalala 8hrs kwa siku
The rest.....All the best
 
Mwaka mzima au January tu? Hahaha
 
Naona mkemia amebana kila kona hadi watu mmeamua kubana matumizi bila kupenda....

 
Karibu ktk ulimwengu wa pombe free, pia mazoezi ni mhimu sana hapa mm ndio nimerudi nishakimbia uwanja mara 11
 
Hapo na 6 unafanyia mitaa ipi unipitie namie twende wote.
 
Shyeeeh...!!! nimekuja chap chap kucheki km umeacha kufanya matusi pia sijaona eti au list bado inaendelea ?
 
Ndugu Sky Eclat

Hongera kwa hatua hii uliyochukua.

No.6 angalau iwe mara 2 kwa wiki, kwa kuanzia.

Number 1,2,3 & 4 ndio vichocheo vya kuongezeka uzito na nichangamoto kwa walio wengi.
Mkuu Mwl mimi hizo namba moja hadi 4 situmii na sijawahi kutumia kwa mfano kileo,sodana junk foods zote kama soda,juice za kopo,chips nk nimeacha kutumia huu mwaka wa 4 .

Lakini nashangaa naongezeka tu uzito ingawa sio kwa kiwango kikubwa. 189cm height, 92 kg weight.
 
Wakati nasoma maazimio yako nilishaanza sikitika nikidhan kuna kuacha kutupatia story nzuri nzuri.
 
ndugu sky mwaka huu umekamatia fursa gani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…