Gwakukahja
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 1,119
- 737
Jamaa na msupport kwa % katika hii vita lakin Kwa huo utaratbu aliyoutumia kama unaona ni sahihi sawa mm n mtazamaji tuu wa hiz Marathon maana naambiwaga mbio za panya huishia sakafuni......Tutakuunga MKONO kwenye hili .....iwapo tu TUKIANZA kumshinikiza MBOWE kwanza aanze kujiuzulu yeye na TUNDU LISSU nafasi zao ndani ya CHAMA.....maana walichokifnya CHADEMA KWENYE LIST OF SHAME haina tofauti kabsa na ALICHOKIFANYA MAKONDA......ebu tuanze kwanza kwenye hili afu ndio tumrudie MAKONDA
Tunaamini CHADEMA msingeweza kabsa kumpinga MAKONDA kama MBOWE asingekuwepo kwenye hii LIST.....tatzo hapa na ambalo linaelekea kabsa kukwamisha hii VITA ni mbowe kuwa included into this na KINGNE ni CHUKI BINAFSI YA BAADHI YA VIJANA WA RIKA LA MAKONDA NDANI YA CCM maana wanaona kabsa huyu ni kizuizi kabsa cha wao kupata nafasi ya KUTEULIWA urais HAPO BAADAE NDANI YA CCM.....THUS WHY tunaona huu mkwamo wa hii VITA....