Tempon
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 234
- 382
US ni superpower nation ana Paswa kufanya ivo dunia haiwezi kuwa Salama Kama Mataifa yatalingana lazima awepo mbabe wa Duniani Huyo awe na Kauli ya kuzima Jambo, Kidemokrasia haifai Marekani anachofanya Ila kulinda interest zake ni Poa tu.Kwanza mnakosea mnavyosema taifa korofi duniani, kila nchi ina haki ya kujilinda na kumiliki silaha kadiri iwezavyo ila haipaswi kuingilia Uhuru wa taifa lingine
Sasa hapo north Korea ana shida gani maana anamiliki nuclear kama marekan na washirika wake, pia anafanya mazoezi kama nchi zingine na haingilii Uhuru wa mataifa mengine.
Mwenye shida hapo ni U.S maana anataka kuwazuia wenzake wasimiliki silaha ambazo yeye anazimiliki pia anaingilia Uhuru wa mataifa mengine kwa kutaka kuwaelekeza nn cha kufanya na kipi si cha kufanya