Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,512
- 6,879
Hivi yule jamaa aliyesema anataka kuwaburuza hawa jamaa mahakamani alifia wapi
Hakuna cha kukabidhiwa uraisi wa Zanzibar wala kuvunja muunganoMuulizeni miezi 3 ya kukabidhiwa urais wa nchi ya Zanzibar bado haijaisha?
Kama hujasoma taarifa yote usiwe mwepesi kuuuliza maswali.sijasoma maelezo yote kwa sababu ya ufinyu wa muda ila swali la msingi je ACT WAZALENDO wametoa taarifa kwenye vyombo vya dola kuhusu hizo tetesi? na je ikigundulika ni udaku na propaganda za kisiasa wako tayari kuchukuliwa hatua kuhusu huu uvumi
sawa mkuu, una uhakika swali langu limetolewa maelezo hapo juu? kama huna majibu usikimbilie kuquote?Kama hujasoma taarifa yote usiwe mwepesi kuuuliza maswali.
Hallucinations..........Jitayarisheni tu "kupindua" matokeo kwani hizo ndio zenu.Ccm Zanzibar 2020 ni 100%
Pale ulipokunya jana pameota mbuyu!Lini ACT wakawa na ofisi?
Huyo bwana Zitto anajua muda wake wa kuwa mbunge umeisha anatapa tapa
Kwa Serikali ya kidikteta ushindi wa 99.9% ama 100% inawezekana ni tamko pekee,wanatekeleza.
Acha ubaguzi mkuu wewe ndo mtanzania sanaMaalim seif ameanza tena ubaguzi wake
Je akirudishwa Oman atamlaumu nani?
... ila Maalim kachoka kweli kweli. Sidhani kama ana maono yoyote mapya ya kuipeleka Zanzibar mbele. Enzi zimepita akubali tu "wakati ukuta".
... ila Maalim kachoka kweli kweli. Sidhani kama ana maono yoyote mapya ya kuipeleka Zanzibar mbele. Enzi zimepita akubali tu "wakati ukuta".