Maalim Seif hakushinda Uchaguzi wa Oktoba na analijua hilo

maalim seif anacheza kamchezo flani ivi, kanaitwa zira wakuhurumie.

kama ni kweli maalimu alishinda uchaguzi wa oktoba kwa 52% , na wakamfanyia figisu kwa kufuta uchaguzi, dawa sahihi ya kuwashughulikia CCM ilikuwa ni ipi???

Kwa mwanasiasa mkomavu dawa ilikuwa ni kuhakikisha unawaaibisha kwa mara ya pili kwa kushinda tena. Maalimu alipaswa kuhakikisha anawaanda wasimamizi waaminifu katika kipindi cha miezi minne toka oktoba 2015, huku akihamasisha wafuasi wake kushiriki uchaguzi wa marudio kwa kishindo, ili kuhakikisha CCM hawapati pa kuchomokea. Na hii ndo sifa ya mwanamapindizi mkongwe.

Wote tunajua figisu za wakoloni zilivyokuwa za hatari, lakini wazee wetu hawakuwahi kususa mapambano, Kina nyerere, Mugabe, Mandela, patric Lumumba n.k walipigwa figisu za hatari zaidi ya hii ya maalimu,lakini kwa kuwa walijua kuwa ushindi ni wao, hakuna aliyesusa, walipambana mpaka nmzungu akaondoka.

Hii ya maalimu iligua ni geresha na danganya toto, na kama anabisha atuwekee nyaraka za majadiliano kati yake na shein. Maalimu anajua hakushinda oktoba na alijua kabisa kuwa hatashinda tena machi, ndo maana akaamua kuwasaliti wazanzbar kwa kususa, ili tu waamini eti kaonewa.

haiitaji degree ya Havard kuuelewa huu mchezo wa maalimu, labda nimalize kwa kumshauri kuwa Mwanamapinduzi au mwanasiaswa mkongwe yoyote hawezi kususia uchaguzi, bali hushiriki mara nyingi iwezekanavyo ili kuwashinda na kuwaaibisha wapinzani wake.

Poleni wana CUF, huku ufipa hatuna hamu kabisa na Sief, ndo maana mwenyekiti wetu na katibu mkuu mpya hawajaenda kumuona hapo HOTELINI anapolipiwa na serikali ya shein,

Zanzibar Post

BAADA YA CCM KUKOSEA KUKOKOTA TARAKIMU NA KUTOA TAARIFA RASMI YA MATOKEO YA UCHAGUZI WA MAJEREO MATOKEO RASMI HAYAKIDHI MATAKWA YA KATIBA YA ZANZIBAR YA SASA NA HIVYO UNAPASWA KUFANYIKA UPYA SIO MAREJEO TENA. - SHENI NI MKOSI !

Kufuatia matokeo rasmi yaliotangazwa na mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar Jecha Salim Jecha kutokidhi matakwa ya kikatiba uchaguzi wa Zanzibar unapaswa kuitishwa upya na sio marejeo tena.

CCM wanapenda namba lakini hawajui kukukota, walipaswa kujua athari za matokeo rasmi waliyotangaza, inashangaza Tume ya Uchaguzi Zanzibar mkurugenzi wake ni mtu wa mahesabu na makamishna wawili ni watu wa mahesabu lakini bado wamefanya makosa yatakayoligharimu taifa fedha nyingi.

Kwa kukidhi matakwa ya katika ya sasa uchaguzi unapaswa huitishwa upya, yaani uandikishaji wapiga kura upya, uteuzi wa wagombea upya, kampeni nyengine na upigaji kura upya (fresh election).

Na hii inatokana na CCM kuwa "rigid" kupanga matokeo ya wao kusomba viti vyote, kwa mujibu wa masharti ya katiba raisi mteule baada ya kuapishwa atatakiwa kuteuwa makamu wawili wa raisi ndani ya siku saba, na mmoja katika makamu wa raisi ni makamu wa kwanza wa raisi ambaye atatokana na na chama kilichopata nafasi ya pili katika idadi ya kura kwa angalau 10% na hakuna chama kilichoshiriki uchaguzi wa marejeo kilichofika 10%.

Na kama hakuna chama kilichofika 10% katiba inataka nafasi hiyo kupewa chama kilichopata wingi wa viti katika baraza la wawakilishi endapo ingekuwa mgombea wa CCM hakuwa na mpinzani, lakini katika uchaguzi wa marejeo CCM ilikuwa na wapinzani 12 katika nafasi ya uraisi.

Ili kukidhi matakwa ya katiba inabidi aidha katiba kubadilishwa na hilo lina ghamara kubwa kwa sababu kubadilisha kifungu chochote cha katiba ni lazima marekebisho hayo yapelekwe katika baraza la wawakilishi na hoja kupita kwa theluthi mbili na kisha yapigiwe kura ya maoni na wanzanzibari wote kwa wingi wa theluthi mbili kuondoa vifungu vya katiba vinavyoweka masharti hayo ya kikatiba.

Vinginevyo uchaguzi unapaswa kuitishwa upya (fresh election) kuanzia uandikishaji, uteuzi wa wagombea, kampeni na upigaji kura ili kukidhi matakwa ya katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 toleo la 2010.

Vinginevyo Zanzibar itaingia katika mgogoro mkubwa wa kikatiba tangu katiba ya Zanzibar ilipoasisiwa mwaka 1984.

Chanzo : Mwandishi Wetu Zanzibar Post
 
Ulicho andika ni nini sasa au unadhani uchaguzi ni ngumi za kwenye njia za ng'ombe mpaka mmoja avuke mstari ndo muanze kupigana

Tukitaka demokrasi tufuate na kanuni zake we unaenda na mwenzio kwenye uchaguzi huku anaweza kukataa matokeo na vyombo vya dola eg (tume ya uchaguzi, msajili wa vyama,majeshi etc.) vikamtii .

Tuwe na chaguzi za kuheshimu matakwa ya wananchi si ya watawala
 
Kuna watu wamekunywa omo hapa maana mapovu yanawatoka Sana. Maalim seif kuwa Rais labda baada ya miaka 30.
 
maalim seif anacheza kamchezo flani ivi, kanaitwa zira wakuhurumie.

kama ni kweli maalimu alishinda uchaguzi wa oktoba kwa 52% , na wakamfanyia figisu kwa kufuta uchaguzi, dawa sahihi ya kuwashughulikia CCM ilikuwa ni ipi???

Kwa mwanasiasa mkomavu dawa ilikuwa ni kuhakikisha unawaaibisha kwa mara ya pili kwa kushinda tena. Maalimu alipaswa kuhakikisha anawaanda wasimamizi waaminifu katika kipindi cha miezi minne toka oktoba 2015, huku akihamasisha wafuasi wake kushiriki uchaguzi wa marudio kwa kishindo, ili kuhakikisha CCM hawapati pa kuchomokea. Na hii ndo sifa ya mwanamapindizi mkongwe.

Wote tunajua figisu za wakoloni zilivyokuwa za hatari, lakini wazee wetu hawakuwahi kususa mapambano, Kina nyerere, Mugabe, Mandela, patric Lumumba n.k walipigwa figisu za hatari zaidi ya hii ya maalimu,lakini kwa kuwa walijua kuwa ushindi ni wao, hakuna aliyesusa, walipambana mpaka nmzungu akaondoka.

Hii ya maalimu iligua ni geresha na danganya toto, na kama anabisha atuwekee nyaraka za majadiliano kati yake na shein. Maalimu anajua hakushinda oktoba na alijua kabisa kuwa hatashinda tena machi, ndo maana akaamua kuwasaliti wazanzbar kwa kususa, ili tu waamini eti kaonewa.

haiitaji degree ya Havard kuuelewa huu mchezo wa maalimu, labda nimalize kwa kumshauri kuwa Mwanamapinduzi au mwanasiaswa mkongwe yoyote hawezi kususia uchaguzi, bali hushiriki mara nyingi iwezekanavyo ili kuwashinda na kuwaaibisha wapinzani wake.

Poleni wana CUF, huku ufipa hatuna hamu kabisa na Sief, ndo maana mwenyekiti wetu na katibu mkuu mpya hawajaenda kumuona hapo HOTELINI anapolipiwa na serikali ya shein,

Kama hakushinda kwanini walifuta uchaguzi? Wangeendelea kutangaza matokeo halali ndio tungejua lakini Leo ukileta vijisababu vyako utaonekana na wewe ni walewale akina Jecha
 
usijitoe kumbukumbu mkuu, kwani sababu za kufuta uchaguzi zilikuwa ni zipi??
 
maalim seif anacheza kamchezo flani ivi, kanaitwa zira wakuhurumie.

kama ni kweli maalimu alishinda uchaguzi wa oktoba kwa 52% , na wakamfanyia figisu kwa kufuta uchaguzi, dawa sahihi ya kuwashughulikia CCM ilikuwa ni ipi???

Kwa mwanasiasa mkomavu dawa ilikuwa ni kuhakikisha unawaaibisha kwa mara ya pili kwa kushinda tena. Maalimu alipaswa kuhakikisha anawaanda wasimamizi waaminifu katika kipindi cha miezi minne toka oktoba 2015, huku akihamasisha wafuasi wake kushiriki uchaguzi wa marudio kwa kishindo, ili kuhakikisha CCM hawapati pa kuchomokea. Na hii ndo sifa ya mwanamapindizi mkongwe.

Wote tunajua figisu za wakoloni zilivyokuwa za hatari, lakini wazee wetu hawakuwahi kususa mapambano, Kina nyerere, Mugabe, Mandela, patric Lumumba n.k walipigwa figisu za hatari zaidi ya hii ya maalimu,lakini kwa kuwa walijua kuwa ushindi ni wao, hakuna aliyesusa, walipambana mpaka nmzungu akaondoka.

Hii ya maalimu iligua ni geresha na danganya toto, na kama anabisha atuwekee nyaraka za majadiliano kati yake na shein. Maalimu anajua hakushinda oktoba na alijua kabisa kuwa hatashinda tena machi, ndo maana akaamua kuwasaliti wazanzbar kwa kususa, ili tu waamini eti kaonewa.

haiitaji degree ya Havard kuuelewa huu mchezo wa maalimu, labda nimalize kwa kumshauri kuwa Mwanamapinduzi au mwanasiaswa mkongwe yoyote hawezi kususia uchaguzi, bali hushiriki mara nyingi iwezekanavyo ili kuwashinda na kuwaaibisha wapinzani wake.

Poleni wana CUF, huku ufipa hatuna hamu kabisa na Sief, ndo maana mwenyekiti wetu na katibu mkuu mpya hawajaenda kumuona hapo HOTELINI anapolipiwa na serikali ya shein,

Huwa nasema lumumba kumejaa wajinga, akili za kuambiwa. Hv unalinganisha harakati za kumwondoa mkoloni na uchaguzi ambao ulitakiwa uwe wa kidemokrasia, shame on you!
Kwa akili ndogo, ccm ingekuwa imeshinda ingefuta uchaguzi!? Kama ni njaa ndio zinakutuma kuandika upumbav sawa!
 
hivi inakuwaje wana CHADEMA tunaitana rumumba humu??
 
Unatia kichefuchefu, hadi Nimetapika, akili zako za mavi ya kuku ndo umeona umeandika thread na wewe sasa, Nenda Lumumba wakakupatie hiyo buku 7 ukanywe Supu, juha mkubwa wewe.
acha matusi kamanda, hivi kichwa chako asubui yote hii kinawaza matusi tuu, huna jingine la maana
 
Sio asilimia Tisini za wananch wa zanzibar asilimia tisini ya walio jiandikisha kupiga kura! hata watu wakiwa 10 kuna asimilia 90 hapo!

Mathematics shuleni kwenu ilukuwa option nini au mwalimu mkuu alisafiri
Hahahahaaa asante kwa kunirekebisha Mpwa, nashukuru
 
mkuu huyo babu wa CUF kwa sasa siyo habari tena,ameshamsaidia Dr kuandika historia ya ushindi wa KKISHINDO na hivyo kuisindikiza CCUF zbar shimoni.
MWANASIASA MWENYE MAKEKE hukibomoa chama chake kwa mikono yake mwenyewe.
Lol.
 
4af737005786dd8a8b59954df6d73f24.jpg
Wala hakukua na haja ya kuwapa watoto wa umri huo kupiga kura kwani kingewazuia kitu gani mtu mmoja kupiga hata kura 10 hadi wawape watoto wasiojitambua kupiga kura lau wangekosea ingekua nini
 
Back
Top Bottom