MPAMBANAJI WA MAISHA
Senior Member
- Feb 20, 2016
- 187
- 93
Hivi kwa nini? Afrika watawala wanapenda kutolewa kwa Aibu
Juzi tuliambiwa CUF wamefungua kesi ICC au ilikuwa comedy?Hatimaye tulichokuwa tukiandika humu kuwa MCC walichemka kujiingiza kichwa kichwa Seif kaanza kuelewa.Ni vizuri ujumbe huu akaufikishe na kwa MCC waliotunyima misaada.
Eti anashawishi watu wasilipe kodi!!! Anajua madhara ya kutolipa kodi kitakachofuata ni mwenye biashara biashara yake kufungiwa.Akifungiwa atakula kwa Maalim Seif?
Bwana Yesu alisulubiwa msalabani kwa mashtaka ya kuwakashawishi watu wasilipe kodi kwa serikali ya Kaisari. Kati ya maudhi makubwa ambayo mtu anaweza kuifanyia dola iliyopo madarakani ni kutoa ushawishi wowote kwa wananchi kuhusu kupinga mambo ya kodi. Sijui Maalim Seif kwa sasa ana immunity gani ya kutochukuliwa hatua kali, lakini kwa vyovyote vile jambo hili halitopita hivi hivi
Juzi tuambiwa Cuf wamefungua kesi ICC imefikia wapi?Pelekeni tu. Wataalamu wanakuna vichwa na CCm na utawala wao nao wanakuna vichwa. Wewe hujui Maalim kabobea katika siasa. jiulize kwa nini hayo yaje sasa na hayakuja baada ya kufutwa kibatili matokeo ya trh 25 Oktoba 2015 kuna nini? jiulize.
Huwezi kujua logic hii waulize watawala kinachoendelea.
Maalim alianzia pale hyatt Hotel kusema kwa "..... mikakati tuliyonayo tutahakikisha mtawala anasalimu amri" amesema wazi hajifichi.
Kaenda Pemba sasa yeye anaitwa rais, wazanzibari hawaelewi lugha nyengine na wananchi wanatakiwa wasiipe ushirikiano Serikali jiulize kuna nini?
Ujasiri unatoka wapi? jiulize kwa nini hao Polisi hawajamkamata? Kuna msemo" ... Chimba shimo uingie mwenyewe"
mimi sitabiri lakini naona mtawala "ANACHIMBIWA SHIMO ILI AINGIE MWENYEWE" ikiwa lengo ni kutaka mtawala ashindwe kutawala tena kwa lugha za wazi wazi jua kuna jambo. Pelekeni Polisi na wanyanganyeni leseni za Biashara wapemba halafu uweze kuongoza nchi.
Kwa ufupi Zanzibar kuna hatari juu ya hatari. Maamuzi yoyote ya nguvu ni kujikaribisha kushindwa kutawala. Wakati utasema.
Ukimya wa CUF kipindi chote hicho kilichopita kitajulikana maana yake ilikuwa nini. Ikiwa wameanza naamini kuna jambo.
ANAKOELEKEA MAALIM SEIF SIO KUZURI ANATAKA KULETA MACHAFUKO WATU WASILIPE KOD?SERIKALI GANI AMBAYO WANANCHI WAKE WASILIPE KOD?MUNGU ATUEPUSHE NA MACHAFUKO
Boko Haram?Walipo dhulumiwa mbona ukuyasema haya?!
Inasikitisha sana.Sijamuelewa Seifu, anaposema Eti anataka Serikali ya Shein, isimalize miaka mitano, namuuliza Seifu je ikitokea hivyo anavyotaka, si kutakua na uchaguzi, je atashiriki, sasa CUF wakishiriki CCM pia watashiriki.. Mwisho wa siku atasusa tena.. Maalim Seifu atafute kazi nyingine ya kufanya.. Siasa zake zimeshapitwa na wakati.. Amewaingiza chaka wabunge wa CUF.. Hawakushiriki Uchaguzi wakati
Toa na mfano dogo.Hivi kwa nini? Afrika watawala wanapenda kutolewa kwa Aibu
Ndio hivyo tena, endeleeni kupiga vivuzela!!Hata mnye hadharani, kilichofanyika visiwani ni dhulma za wazi kabisa. Hizi sio zile zama za "zidumu fikra za mwenyekiti".
Shipping liners zote washapandisha bei kwa USD250-450 kwa container ya 20' & 40' respectively. Meli sasa zinakaa mpaka wiki nne kabla ya kuondoka Zanzibar kuelekea destination inayofata.Sawa kama mabavu ni suluhu ingepatikana syria na iraq. Ikiwa taratibu na sheria zipo maalim achukuliwe hatuwe haraka kama ana kosa.
Kisiasa hatua hii ya CUF ni level nyengine usipuuze itakuwa kuna jambo.
Hujasikia hata dawa hakuna hospitali za SMZ? mishahara shida? utii wa wananchi umepunguwa kwa viongozi wa serikali, Kususia mambo ya kiserikali na kufunguliwa kesi. Hizo si dalili njema.
Ngosha naatumie nguvu kuliko maarifa nasema Zanzibar hali ni tete kuliko unavyofikiri
Ivory cost,Burundi, Burkina Faso Sudani, MisriToa na mfano dogo.
Kaingizwa mkenge.Maskini huyu babu ndo kafika mwisho, kutapatapa kote huko kwa nini?? Hivi anajua kukwepa kulipa kodi ni kosa kisheria??
Alafu suala la Jecha kuwa hamna kifungu kinamruhusu kufuta matokeo, ASEME PIA KIFUNGU GANI CHA KATIBA AU UCHAGUZI WA ZENJI HAKIMRUHUSU KUFUTA UCHAGUZI??
Shein ndo rais, hamna jinsi! Katiba ya Zenji inajua hivyo, anachoongea seif ni kama waasi!