Maajabu ya wanawake katika mahusiano ya mapenzi

Kweli wewe na akili yako unapost huu ujinga wa magroup yenu ya WhattsApp hapa kwa Greater thinkers.

Kwaiyo wewe ni mwanaume/mwanamke. Kama wewe ni mwanaume kama mm, sema kama hayo ndio mahitaji yako tu!

Kila mwanaume anahitaji unyumba? Hufikirii zaidi ya hapo kweli.

Mahitaji ya mwanaume ni haya hapa:-

  1. Ibada (kanisani/msikitini/pangoni utajua mwenyewe)
  2. Kupata watoto/ japo ni maaliwa
  3. Kusomesha
  4. kutunza familia (zote mbili)
  5. Kujenga nyumba
  6. Kulima/biashara/ajira
  7. Basic needs (Chakula/mavazi/malazi yanapatikina on time)
  8. ....................................
  9. ......................................
  10. ...................................
  11. ......................................
  12. Kupumzika
  13. .....................................
  14. .........................................
  15. ....................................
  16. Kuoga mwili
  17. ...........................
  18. ..............................
  19. ......................................
  20. .....................................
  21. Burudani (bia/dansi za zamani/rumba)
  22. ..................................
  23. .............................
  24. .................................
  25. ................................
  26. ...................................
  27. ................................
  28. Matibabu
  29. ............................
  30. .............................
  31. .............................
  32. ...............................
  33. Unyumba
  34. .............................
  35. ...................................
  36. ....................................

Wewe hayo mahitaji yako umeyatoa wapi, waulize wanaume wote, watakuambia hayo ndio ya kwao, otherwise wewe mtoto wa Dar es Salaam, ndio mawazo yenu hayo. Umario umewazidi.
 
Nimecheka si kidogo, ngoja uliowataja waje.
 
natamani kama wanaume tuanzishe kampeni ya kuwazingua hawa ili waache kuendekeza us£n&e
 
Yafuatayo ni mahitaji muhimu ya mwanaume na mwanamke kutoka kwa mwenzie
#Inasikitisha
MWANAUME ANAHITAJI:

1. Kupikiwa
2. Unyumba
3. Kupumzika

MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:-

1. Mpenzi
2. Rafiki
3. Mshikaji
4. Kaka
5. Baba
6. Mwalimu
7. Bosi
8. Mpiganaji
9. Askari
10. Mlinzi
11. Mpishi
12. Fundi umeme
13. Fundi bomba
14. Mchungaji
15. Mzee wa kanisa
16. Shehe
17. Daktari
18. Mpambaji
19. Mwana mitindo
20. Modo
21. Mnyanyua vyuma
22. Fundi magari
23. Mwanasheria
24. Mhasibu
25. Fundi seremala
26. Mcheshi
27. Mwanamuziki
28. Muigizaji
29. Shamba boi
30. Fundi ujenzi
31. Msafi
32. Unajali
33. Mzazi
34. Mlezi
35. Mvumilivu
36. Mjanja
37. Mpole
38. Mkarimu
39. Msikivu
40. Mtunza siri
41. Mkweli
42. Kiongozi
43. Tajiri
44. Mpangaji
45. Mwana Michezo
46. Mtundu
47. Tegemeo
48. Jasiri
49. Mthubutu
50. Shupavu
51. Mwerevu
52. Muungwana

HAPO HAPO UNATAKIWA:-

53. Uwe Fundi kitandani.
54. Uwe unamtoa outing.
55. Uwe unampa pesa za kutosha.
56. Usimsumbue sumbue.
57. Usiangalie wanawake wengine.

HALAFU KUNA:-

58. Kumnunulia vizawadi zawadi hapa na pale.
59. Kumsifia alivyoumbika.
60. Kumsifia alivyopendeza.
61. Kumfungulia mlango, kumshikia pochi.

PIA USISAHAU:-

62. Siku yake ya kuzaliwa.
63. Kumbukumbu ya ndoa.
64. Siku ya valentine.

MUHIMU SANA, KUWA MAKINI:-

65. Jifunze kutoulizia chenji ukimpa pesa ya shopping.
66. Usipende kubishana nae kila kitu.

(Hayo ni baadhi tu, nitaongeza mengine baadae).

Mapenzi yashakua JIPU

Hahahaaaaaaaa,Upo sahihi kwa namna fulani hivi,wake (wanawake) wanatamani hayo yote toka kwa Mume (wanaume).
 
mkuu umesahau haya.

KWA MWANAUME
0.5: mtu wa kumgombeza mambo yako mengine yakikwama huko.

KWA MWANAMKE
67: mtu wa kuambiwa tu matatizo shida, jinsi alivyo udhiwa na watu wengine hata kama wewe hautatoa majibu lakini we sikiliza tu.

Note.
Naamini haya hayataapply kati yangu na Heaven Sent
 
Back
Top Bottom