Maajabu ya wanafuzi wa DIT

Nonsense
Walichokifanya Hicho ni kipi cha ajabu..
Kipi ambacho haijawahi kufanywa
Nenda MIT Uone watu walivyo ma genius
Nenda pale Silicon Valley uone proposal za watu wakizipeleka kwa Angel investors uone watu wanavyofanya maajabu kwenye (technology)
Nenda HQ ya NSA uone maajabu ya data intelligence inavyofanya kazi

Angalau Hata kina maxsence Melo na wenzake wakianzisha JF angalau wamefanya maajabu ya tecnology Tanzania

Unasema maajabu je
Steve Jobs na yake asemaje
He Microsoft wasemaje
He shazam wasemaje
Je FIFA 2017 na Xbox wasemaje
Je YouTube wasemaje

Eti maajabu

Pathetic
 
....ok sawa ila kwa taarifa yako tu Maxence Mello naye kasoma hapo hapo DIT.
 
Nonsense
Walichokifanya Hicho ni kipi cha ajabu..
Kipi ambacho haijawahi kufanywa
Nenda MIT Uone watu walivyo ma genius
Nenda pale Silicon Valley uone proposal za watu wakizipeleka kwa Angel investors uone watu wanavyofanya maajabu kwenye (technology)
Nenda HQ ya NSA uone maajabu ya data intelligence inavyofanya kazi

Angalau Hata kina maxsence Melo na wenzake wakianzisha JF angalau wamefanya maajabu ya tecnology Tanzania

Unasema maajabu je
Steve Jobs na yake asemaje
He Microsoft wasemaje
He shazam wasemaje
Je FIFA 2017 na Xbox wasemaje
Je YouTube wasemaje

Eti maajabu

Pathetic
Asee ndugu umeenda mbali saana. Hizo college unazoziongelea zina badget(endowment) kubwa sana. Soo, wape moyo machalii wa dit kwa bidii ya supercomputing.
 
Nonsense
Walichokifanya Hicho ni kipi cha ajabu..
Kipi ambacho haijawahi kufanywa
Nenda MIT Uone watu walivyo ma genius
Nenda pale Silicon Valley uone proposal za watu wakizipeleka kwa Angel investors uone watu wanavyofanya maajabu kwenye (technology)
Nenda HQ ya NSA uone maajabu ya data intelligence inavyofanya kazi

Angalau Hata kina maxsence Melo na wenzake wakianzisha JF angalau wamefanya maajabu ya tecnology Tanzania

Unasema maajabu je
Steve Jobs na yake asemaje
He Microsoft wasemaje
He shazam wasemaje
Je FIFA 2017 na Xbox wasemaje
Je YouTube wasemaje

Eti maajabu

Pathetic
Mimi Nina wasiwasi na uwezo wa judgement yako hivi hapo ulipo unaweza kucompare USA na TANZANIA katika maswala ya kimaendeleo mpaka ulinganishe DIT na MIT?.Hivyo vyuo kwanza vina uwezo mkubwa kiuchumi kuliko Hiyo DIT unayoicompare kwa kuita nonsanse.Kwa hapo unatakiwa kuwapongeza na kuwatia moyo au kuwasupport kwa mile kidogo wanachokifanya kutokana na uwezo was kifedha walionao endapo wangekuwa na uwezo kama MIT wangefanya hata zaidi
 
Mi nawasifu dit maana wanaonekana wanaenda na wakati vyuo vingine bado wanasoma teknolojia za nyuma mkuu supercomputer ni updated technology na ni kweli kingereza kinausika ila tulipitia advance pcm na kusoma kozi za sayansi uwa tunakosa mambo ya debate na kuzungumza mara kwa mara lugha ya maikia . Wenyewe tukiambia by default una output ......
Tushaelewana. Kulinganisha MIT na bongo hapo unalinganisha tui la nazi na maziwa. Mi worry yangu ni kwa wale waliopata fursa ya kwende kusoma huko wakija hapa hatuoni changes ndio na washang'aa
 
Nonsense
Walichokifanya Hicho ni kipi cha ajabu..
Kipi ambacho haijawahi kufanywa
Nenda MIT Uone watu walivyo ma genius
Nenda pale Silicon Valley uone proposal za watu wakizipeleka kwa Angel investors uone watu wanavyofanya maajabu kwenye (technology)
Nenda HQ ya NSA uone maajabu ya data intelligence inavyofanya kazi

Angalau Hata kina maxsence Melo na wenzake wakianzisha JF angalau wamefanya maajabu ya tecnology Tanzania

Unasema maajabu je
Steve Jobs na yake asemaje
He Microsoft wasemaje
He shazam wasemaje
Je FIFA 2017 na Xbox wasemaje
Je YouTube wasemaje

Eti maajabu

Pathetic
Acha chuki binafsi mkuu kama ulisomea hapo dit yakushinda ndo utoke povu la aina hiyo
 
Hii ndo sababu kubwa hatuendelei. Tunapeana support vitu vya kipumbavu... tupo nyuma hakuna asiejua lakini hapo hawajademonstrate chochote cha ajabu.. hivyo ni vitu basic. waje na proposal solid waombe funding, sio lazima serikali, hata watu binafsi watajitokeza kukuza vipaji., kuwatetea eti tuwape moyo ni upuuzi wa hali ya juu..
Mimi Nina wasiwasi na uwezo wa judgement yako hivi hapo ulipo unaweza kucompare USA na TANZANIA katika maswala ya kimaendeleo mpaka ulinganishe DIT na MIT?.Hivyo vyuo kwanza vina uwezo mkubwa kiuchumi kuliko Hiyo DIT unayoicompare kwa kuita nonsanse.Kwa hapo unatakiwa kuwapongeza na kuwatia moyo au kuwasupport kwa mile kidogo wanachokifanya kutokana na uwezo was kifedha walionao endapo wangekuwa na uwezo kama MIT wangefanya hata zaidi
 
I am wondering these kids were doing fantastic work, have you been in Europe and see how they describe things even by their languages? Tanzanian engineers are doing wonderful job and i would like to ask the boys work real hard to employ themselves.

What they were doing is adding things to the community seeing what is going within there classes which is good idea.

Congratuations!!!
 
Hii ndo sababu kubwa hatuendelei. Tunapeana support vitu vya kipumbavu... tupo nyuma hakuna asiejua lakini hapo hawajademonstrate chochote cha ajabu.. hivyo ni vitu basic. waje na proposal solid waombe funding, sio lazima serikali, hata watu binafsi watajitokeza kukuza vipaji., kuwatetea eti tuwape moyo ni upuuzi wa hali ya juu..
Jamaa jifunze kukubali kidogo chenu hawa wanajifunza hii ni namna ya kuonyesha nini kinaendelea...wewe ulishawahi kuona nini kinaendelea kukuza tech kutoka udsm? , udom, dit nk wakitoa na kuonyesha kinachoendeleaa chuoni kwao ni mwanzo mzur kuliko hizo ndoto unazoota wewe.

wanategemewa kutoa mchango wao binafsi katika secta mama ya tech badala ya kuomba omba..wanatarajia kujiajiri sio kuomba omba...hapo utajua wanajifunza nini na Mtaani kunawatu wa namna gani ili soko la hii kitu liwe pana. Nashangaa wewe unaota shahawa gani sikuele
 
Nonsense
Walichokifanya Hicho ni kipi cha ajabu..
Kipi ambacho haijawahi kufanywa
Nenda MIT Uone watu walivyo ma genius
Nenda pale Silicon Valley uone proposal za watu wakizipeleka kwa Angel investors uone watu wanavyofanya maajabu kwenye (technology)
Nenda HQ ya NSA uone maajabu ya data intelligence inavyofanya kazi

Angalau Hata kina maxsence Melo na wenzake wakianzisha JF angalau wamefanya maajabu ya tecnology Tanzania

Unasema maajabu je
Steve Jobs na yake asemaje
He Microsoft wasemaje
He shazam wasemaje
Je FIFA 2017 na Xbox wasemaje
Je YouTube wasemaje

Eti maajabu

Pathetic
Pathetic indeed!
 
Tanzanian engineers are doing wonderful job

Congratuations!!!
Really? Is this a practical joke or what? You can't be serious. To be honesty Tanzanian Doctors are doing wonderful job! Hao engineers na other scientists na Lawyers ni aibu tu. Though mimi nimo kati ya kundi la niliowapondea. Tuache ukweli isemwe kama ulivyo hakuna kupeana matumaini.
 
Noooo!!!! Mataifa mengi tu ya Afrika Kiingereza si Lugha yao ya Kwanza, lakini kwenye elimu ya taaluma kama hiyo wanakuwa vizuri ktk kujieleza, sasa tusipende kupeana moyo na kujazana ujinga, hao ndiyo walimu wetu veta tutegemee nini? Tafadhali tuwe serious jamani.
 
Ajabu ni kitu kinachopindisha sheria za asili, kama vile hadithi ya Musa pupiga fimbo chini bahari ikafunguka watu wakapita baharini halafu walipomaliza akapiga fimbo chini tena bahari ikafunga njia, kama hili lilitokea kweli lilikuwa ajabu.

Kwa sababu aliyasimamisha maji kinyume na sheria ya gravity, kama kweli alifanya hivyo.

Sasa kabla sijatumia muda wangu adimu kuangalia video naomba mniambie kuna sheria gani ya asili iliyovunjwa?
 
Back
Top Bottom