pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,353
- 14,558
Wabunge wa CCM a.k.a ndioooooooooooo!
Wabunge wa ccm kitu chenye maana kwao ni maslahi ya chama kwanza, na kwa kupigania maslahi ya chama matumbo yao yanapata kushiba, hakuna mtanzani wa kudanganywa tunawajua na tutawahukumu kwenye uchaguzi unao kujaMiongoni mwa viumbe wanaonishangaza dunia hii ni pamoja na Wabunge wa CCM, kila siku wanatuonyesha maajabu mapya
Hivi majuzi ulipitishwa utaratibu kwa Wabunge wa UKAWA wanaotoka nje baada ya kuingia kwa Naibu Spika kwamba wakatwe Posho, baada ya kutangazwa utaratibu huu walipiga meza mpaka basi
Sasa ninalojiuliza mimi na wengine wenye akili timamu, hivi ni nani hasa anayepaswa kukatwa Posho kati ya hawa Wanaoingia na kutoka Bungeni kwa hizi siku mbili tatu kuonyesha kutoridhishwa kwao na matumizi mabaya ya kiti cha Spika kwa maslahi binafsi (ya chama) badala ya Taifa na wao wanaokaa tu kujaza nafasi mwanzo wa mwaka mpaka mwisho wa mwaka na wakisimama wanatuambia tuweke Sanamu la Diamond Posta?
Haya binafsi yananishangaza na kunifanya nione kama kuna haja ya kuwaongeza Wabunge hawa kati ya maajabu tunayojivunia Tanzania ili kila mgeni aje ashangae
Wabunge wa UKAWA wanaonyesha utii wa Sheria na wanafanya hayo kwa maslahi ya Taifa na wakirudi ni wazungumzaji wazuri kwa maslahi ya Taifa na huu ni utaratibu wa kawaida, sasa hawa CCM wanaokaa kujaza mabenchi tu mle Bungeni wanafanya hayo kwa maslahi ya nani? Kwa nini hawaombi kukatwa posho? Haya kweli ni maajabu, ina maana watu wazima wale hata hawajishtukii?
Ilikuwa hivi hivi kwenye BUNGE MAALUM LA KATIBA, walikaa kujaza mabenchi na hata walipojadili walijadili kama wanatengeneza Katiba ya Chama chao cha Lumumba mawazo yao yakiwa kwenye Posho ya Milioni 30 lakini sasa yako wapi, wametuingiza hasara kwa kitu ambacho wao wenyewe wanaona aibu hata kukiongelea. Jamani, "mtu mzima ukivuliwa nguo chutama". Waone aibu basi, au wanadhani bado tuko Tanzania ya miaka ya 60 kwamba hatuwezi kuchanganua?
Kwa nini hawa wanakimbilia kuongelea Posho badala ya nini kinachowatoa nje UKAWA, au hoja za wananchi kudhalilishwa kwa kufukuzwa mashuleni kama Mbwa wao haziwahusu?
Povu walilitoa wabunge wa ccm siku ya bajeti baada ya kuambiwa kuwa kiinua mgongo chao kitakatwa kodikwa hiyo tukusaidiaje sasa, maana sijaona ulichoongea sana sana povu tu...
Utaona mbunge na heshima ya kuitwa mbunge anaomba mirungi iruhusiweWengi walihonga hela kuupata ubunge kwa hiyo akili zao zimejikita kwenye posho ili kurudisha garama, wamesahau kabisa sababu za msingi zilizowapeleka pale kuwa ni kuwakilisha matatizo ya wananchi wa majimboni mwao, wanasema ndiooo siku iingie Account zinone.
Afadhali mirungi, mbunge anasimama kutetea bangi, halafu anapewa posho. ccm ni donda lenye harufu mbaya sana,Utaona mbunge na heshima ya kuitwa mbunge anaomba mirungi iruhusiwe
Hawa ndio wabunge wa ccm na hicho ndio kinacho wakalisha bungeniNinaposema ukweli huwa sipati shida na anayetetea upuuzi na aliyemezeshwa ya kusema
kwa hiyo tukusaidiaje sasa, maana sijaona ulichoongea sana sana povu tu...
ila na wabunge wa UKAWA watakuwa wanatoka hadi lini? sauti zao wanazipaza wakiwa wapi? hawaoni kwamba siku kukiwa na issue ambayo ina utata na inaweza kupata upinzani mkubwa kupitishwa watamtumia naibu spika ila kuepusha nguvu ya upinzani? Rudini bungeni pigeni kelele hata kama ccm na serikali yake hawatawasikia sisi wapiga kura na dunia nzima itawasikia and you will be rewarded!
Ha haaa, kwa hiyo unamaanisha tumebakiwa na zembululazBunge limebaki na wajingi wenye akili timamu wametoka nje.
Kuna waliokuwa wameanza kupata akili ila juzi tu lile zee lao katibu mkuu lilipowapiga mkwara wote wakaufyanta wakageuka ghafla, sijui wana ugonjwa gani hawa binadamuCcm wana akili za kushikiwa hata likiwa na PhD kama lile la k. Y . E. L. A. Vichwa ni empteee
Ni heshima kwa Mungu kumzomea fisadi Lowasa. ~~~G LemaMiongoni mwa viumbe wanaonishangaza dunia hii ni pamoja na Wabunge wa CCM, kila siku wanatuonyesha maajabu mapya
Hivi majuzi ulipitishwa utaratibu kwa Wabunge wa UKAWA wanaotoka nje baada ya kuingia kwa Naibu Spika kwamba wakatwe Posho, baada ya kutangazwa utaratibu huu walipiga meza mpaka basi
Sasa ninalojiuliza mimi na wengine wenye akili timamu, hivi ni nani hasa anayepaswa kukatwa Posho kati ya hawa Wanaoingia na kutoka Bungeni kwa hizi siku mbili tatu kuonyesha kutoridhishwa kwao na matumizi mabaya ya kiti cha Spika kwa maslahi binafsi (ya chama) badala ya Taifa na wao wanaokaa tu kujaza nafasi mwanzo wa mwaka mpaka mwisho wa mwaka na wakisimama wanatuambia tuweke Sanamu la Diamond Posta?
Haya binafsi yananishangaza na kunifanya nione kama kuna haja ya kuwaongeza Wabunge hawa kati ya maajabu tunayojivunia Tanzania ili kila mgeni aje ashangae
Wabunge wa UKAWA wanaonyesha utii wa Sheria na wanafanya hayo kwa maslahi ya Taifa na wakirudi ni wazungumzaji wazuri kwa maslahi ya Taifa na huu ni utaratibu wa kawaida, sasa hawa CCM wanaokaa kujaza mabenchi tu mle Bungeni wanafanya hayo kwa maslahi ya nani? Kwa nini hawaombi kukatwa posho? Haya kweli ni maajabu, ina maana watu wazima wale hata hawajishtukii?
Ilikuwa hivi hivi kwenye BUNGE MAALUM LA KATIBA, walikaa kujaza mabenchi na hata walipojadili walijadili kama wanatengeneza Katiba ya Chama chao cha Lumumba mawazo yao yakiwa kwenye Posho ya Milioni 30 lakini sasa yako wapi, wametuingiza hasara kwa kitu ambacho wao wenyewe wanaona aibu hata kukiongelea. Jamani, "mtu mzima ukivuliwa nguo chutama". Waone aibu basi, au wanadhani bado tuko Tanzania ya miaka ya 60 kwamba hatuwezi kuchanganua?
Kwanini hawa wanakimbilia kuongelea Posho badala ya nini kinachowatoa nje UKAWA, au hoja za wananchi kudhalilishwa kwa kufukuzwa mashuleni kama Mbwa wao haziwahusu?
hata mwaka mzima tutakaa njeIla na wabunge wa UKAWA watakuwa wanatoka hadi lini? sauti zao wanazipaza wakiwa wapi? Hawaoni kwamba siku kukiwa na issue ambayo ina utata na inaweza kupata upinzani mkubwa kupitishwa watamtumia naibu spika ila kuepusha nguvu ya upinzani? Rudini bungeni pigeni kelele hata kama ccm na serikali yake hawatawasikia sisi wapiga kura na dunia nzima itawasikia and you will be rewarded!