Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,651
- 6,875
Gas, madini, mafuta sio rasilimali zetu ni za wazungu Mungu alipanga hivyo kwasababu zifuatazo.
(1)Ni wao wazungu waligundua dhamani na matumizi ya hivyo vitu.
(2)Ni Wazungu wanaoweza kugundua yalipo.
(3)Ni wao wanaoweza juyachimba na kuyatia thamani na kuyauza.
Mitambo yote ya kufanya hayo yote wamegundua wao wanayo wao na hawaiuzi kwa nchi zetu hasa zilizopo bara wanaloita la giza.
Tukiachiwa hivyo vitu ardhini tutavifanyia nini?
Mungu ndivyo alivyopanga sio wanaosaini mikataba.