Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 4,912
- 3,991
Aaah uongo acha ccm wapo sana tuKuna jambo zuri ambalo umesahau kuliorodhesha linalowahusu wakazi wa Arusha mjini, nalo ni KUIKATAA CCM a.k.a Chama Cha Machafuko. Yaani ukifika Arusha pale stendi ya mabasi utakuta waendesha bodaboda kibao wakiwa na magwanda ya Chadema. Ukipita kwenye mitaa iliyo mingi ya Arusha kama Mianzini, Ngarenaro, Sombetini, Mbauda, Sakina, Ngara mtoni na hata Njiro kule kwa wenye nazo ni kawaida sana kukuta vijana na wazee wakiwa kwenye magwanda ya Chadema. Kuvaa shati/fulana yenye nembo ya CCM ukiwa A-city ni sawa na kuwatukana wakazi wake.