CCMDah huyu fisi sijui anamaanisha nini "kula huku anacheka cheka''
Ni katika masimulizi mbali mbali na shuhuda za watu.Duuuu... Dadavua maana yawezekana ukawa na ushahidi jadidi (vivid evidence) juu ya ishu hii.
Cc: mshana jr
Yaani usafiri wa fisi ni poa sana kama vile ferrari hasahasa huku kwetu BariadiNi katika masimulizi mbali mbali na shuhuda za watu.
Hata CCM wanalijua hili.Sina evidence wala fisi ila nasikia wenzetu wa sayansi za Giza wanatumia fisi kama wanavyotumia ungo.
Mbwa mwitu si ndio huyo fisi au?Kuna vitu umechanganya na mbwa mwitu
Mkuu article Babkubwa, Hahahahahahahaaaaa niliona moja LinkedIn jamaa Anasema defence force yao sio ya Kitoto, mbele kabisaaaa unaambiwa wanatangulizwa Sijui Wazee wale na Watoto, Katikati kuna FFU na Wale Wajeshi wanakua Mwisho kabisaaaa. Ngoja nitafute ile picha kama nitaweza kuikopi niitupie humuAhaaaa.....mkuu si unajua tena fisi mishe Moshe zake
Hyena na FoxMbwa mwitu si ndio huyo fisi au?
Hyena= Fisi, Fox= Mbwa mwituMbwa mwitu si ndio huyo fisi au?
Sorry hawa ni Fox sio HyenaMkuu article Babkubwa, Hahahahahahahaaaaa niliona moja LinkedIn jamaa Anasema defence force yao sio ya Kitoto, mbele kabisaaaa unaambiwa wanatangulizwa Sijui Wazee wale na Watoto, Katikati kuna FFU na Wale Wajeshi wanakua Mwisho kabisaaaa. Ngoja nitafute ile picha kama nitaweza kuikopi niitupie humu