Maajabu na marufuku ya baadhi ya mataifa

Namba 8 ni uongo mkubwa sana wanangu wamezaliwa mji mkuu wa Denmark Copenhagen hakuna uzushi kama huo,hivyo basi naanza kutilia mashaka taarifa zote za hii post kuwa ni za kizushi
 
Mkuu, hapo kwenye Red ni kweli ama umeongezea chumvi? Duh...kama kweli basi hiyo imekaa vibaya...

ukikamatwa unalipishwa pesa au unakaa mahabusu kwa kukaidi agizo la mfalme

jumamosi ya mwisho wa mwezi ni siku ya usafi, pia ipo siku ya kufanya mazoezi... na atakayekaidi atashurutishwa kwa mujibu
 
Back
Top Bottom