MAAJABU: Mtoto mdogo afufuliwa Moshi, akutwa na ulimi mrefu, Mama azungumza

Aiseeee! Vipo vya kuamini ila sio hizi mambo za watu kufufuana.

Hizi ni fix kama fix zote. Pamoja na kuwa huyo ''mwandishi wa habari'' ameshindwa kuwahoji vizuri lakini huyo mama anaonekana kabisa amefundishwa ndiyo maana anashindwa kuelezea. Unafanya mchezo na mtu kufufuka. Si hata Japan wangejua!
 
Leo March 7, 2019 Kijana Daniel Jackson aliyefariki December 2018 amedaiwa kufufuliwa na mtaalamu wa tiba za jadi huku ikielezwa kwamba alichukuliwa ‘msukule’ ambapo Mama yake mzazi amesema alifariki katika mazingira ya kutatanisha huku akisema sasa hivi anaweza kuzungumza na atampeleka shule.

Source: Millard Ayo

Sent using Jamii Forums mobile app
Lete picha tuone ulimi wake ulivyorefuka. Bila picha Ni story Kama story zingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom