Maajabu 2017 Kijana (18) ageuka mtoto ghafla tazama picha

Hii kwa wengine saa hizi ingekuwa ni worldwide media attention kama zile za Fetus in fetu.
Kwa sisi huku taasisi za media tuko nyuma sana.

Huyu kijana angepata msaada tena wa bure kama lingejulikana kimataifa kwani kuna madaktari wangejitolea bure kumsaidia na hapo hapo kufanya utafiti kwa jinsi gani amekuwa hivyo
 
mbona hujaweka picha yake kabla ya kuugua??na hao waandishi walishindwa kuenda kcmc kuwahoji madaktari juu ya mtoto huyu hili wapate taarifa kamili?
 
wasiwasi wangu juu ya hali ya huyu mtoto mama anapaswa kuweka wazi, hii mimba aliipataje je alipata kawaida tu au ni ile ya kuhangaika kuomba msaada wa nguvu za giza?
 
Source ya habari ni gazeti ikiambatana na kavideo,sasa najiuliza hako kavideo na kenyewe source yake ni hilohilo gazeti!?
 
Back
Top Bottom