Ma dj wanazingua kupiga nyimbo za dini kwenye disco na night clubs

Agrey998

JF-Expert Member
Jul 8, 2019
414
544
Nimekuwa Muhudhuriaji wa Night clubs mbalimbali hapa kwenye jiji la makala Na Jiji moja kule kaskazini mwa Tanzania.

Imeibuka Tabia ya Madj wetu wanaoburudisha mioyo yetu kupiga nyimbo za Dini katika night clubs hizo na zinagusa imani za wengi mule na zikipigwa huwa narudi kukaa naendelea kunywa kinywaji Au kuchezea simu maana kwa kweli huwa inaniuma sana inapigwa nyimbo ya Dini AF kuna miamba inabambia na wengine wanakula Bia na wengine wanatakanana Dah somehow tunakuwa tunalipaka matope jina la muumba wetu.

Madj nakubali sana kazi zenu lakini hebu msipige nyimbo za dini sehemu kama zile ambapo asilimia 98% ya matendo hayalipi utukufu Jina la Mungu hata kama Hamuamini lakini waheshimuni basi hata wale wanaoamini . Hili kwangu mimi limekuwa kero kwa kweli kwani zile nyimbo zikipigwa na nikisikia Jina la Mungu na matendo yanayofanywa asee hadi Vibe la kuendelea kuruka linakata kabisa na naweza hata nikaondoka.

Kama kuna Dj humu basi naomba mzingatie hili jamani.

Nawasilisha
 
Ukafiri ndio ulivyo,haunaga taratibu kila pahala vurugu tu....huku mtaani kuna bar kibao zinapiga gospo na walevi wanaruka tu..
 
Nimekuwa Muhudhuriaji wa Night clubs mbalimbali hapa kwenye jiji la makala Na Jiji moja kule kaskazini mwa Tanzania.

Imeibuka Tabia ya Madj wetu wanaoburudisha mioyo yetu kupiga nyimbo za Dini katika night clubs hizo na zinagusa imani za wengi mule na zikipigwa huwa narudi kukaa naendelea kunywa kinywaji Au kuchezea simu maana kwa kweli huwa inaniuma sana inapigwa nyimbo ya Dini AF kuna miamba inabambia na wengine wanakula Bia na wengine wanatakanana Dah somehow tunakuwa tunalipaka matope jina la muumba wetu.

Madj nakubali sana kazi zenu lakini hebu msipige nyimbo za dini sehemu kama zile ambapo asilimia 98% ya matendo hayalipi utukufu Jina la Mungu hata kama Hamuamini lakini waheshimuni basi hata wale wanaoamini . Hili kwangu mimi limekuwa kero kwa kweli kwani zile nyimbo zikipigwa na nikisikia Jina la Mungu na matendo yanayofanywa asee hadi Vibe la kuendelea kuruka linakata kabisa na naweza hata nikaondoka.

Kama kuna Dj humu basi naomba mzingatie hili jamani.

Nawasilisha
Hata sisi walevi tunahitaji kukumbushwa mambo makuu ya Mungu!
 
Yaani ukiona nafsi yako inapingana na kitu,,huku wengine wakifurahia jua hapo mahali ulipo si salama,yaani hapo bar penyewe, pamoja na hayo mapombe, nafsi inakusuta,kiujumla ni sehemu zilizolaniwa na Mungu ametutadhalisha
 
Back
Top Bottom