MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 398
- 671
Uvira ni njia ya kuwaondoa warundi tu kwanza. Mpango ni Kisangani, Maniema na katanga. Kwanza zile sehemu zenye kipato kikubwa kwa serikali. Baada ya hapo kuna maeneo mengine serikali itakuwa inajiondoa yenyewe, na njia ni mpaka Kinshasa.Safari hii wanangu wa m23 twenden mpk uvira kabisa hakuna kuweka bunduki chini
Wakifika Kinshasa wanaenda kumtoa Tshekedi au?Uvira ni njia ya kuwaondoa warundi tu kwanza. Mpango ni Kisangani, Maniema na katanga. Kwanza zile sehemu zenye kipato kikubwa kwa serikali. Baada ya hapo kuna maeneo mengine serikali itakuwa inajiondoa yenyewe, na njia ni mpaka Kinshasa.
Lengo ni kuhakikisha anang'olewaWakifika Kinshasa wanaenda kumtoa Tshekedi au?
Meno?Lengo ni kuhakikisha anang'olewa
Hao jamaa inaonyesha ina askari imara na vifaa vya kutosha,haina mabishoo katika jeshi lao....maana safari hii wamejipanga sana,nchi zote wameshindwa kuwadhibiti,nasikia Kabila pia anawapa sapoti.Uvira ni njia ya kuwaondoa warundi tu kwanza. Mpango ni Kisangani, Maniema na katanga. Kwanza zile sehemu zenye kipato kikubwa kwa serikali. Baada ya hapo kuna maeneo mengine serikali itakuwa inajiondoa yenyewe, na njia ni mpaka Kinshasa.
Tshekedi hawamtaki anagombana hata na Watangulizi wake anagombana na watu wa Serikali mwisho yatamkuta ya Kuku wa ZabangaHao jamaa inaonyesha ina askari imara na vifaa vya kutosha,haina mabishoo katika jeshi lao....maana safari hii wamejipanga sana,nchi zote wameshindwa kuwadhibiti,nasikia Kabila pia anawapa sapoti.
Tshekedi anaenda kuuliwa....nahisi kama ana mwisho mbaya sana....Tshekedi hawamtaki anagombana hata na Watangulizi wake anagombana na watu wa Serikali mwisho yatamkuta ya Kuku wa Zabanga
Lazima kimkute cha kumkuta zee la kususaTshekedi anaenda kuuliwa....nahisi kama ana mwisho mbaya sana....
Wapo mji gani sasa hivi?RDC Wazalendo wanasonga mbele Kimyakimya kumapori na masase mapanga marungu ...stay tuned!!
Siasa hainaga rafiki, siasa ina faida. Hapa M23 ina maeneo safi na salama, waliokuwa wakimbemenda Thsisekedi, washaweka dau kwa M23.Sasa itakuwaje ikiwa inasemekana kabila kaenda Goma kinyemela pia aliona na Elon Mask? Hii circle ya hii vita ilivokaa na inavoendelea kuna watu wakija kushtuka watapata heart attack. Tshekedi nimeona bank ya Swiss wanadai kahifadhi $8 billion wame freeze account.
Udalali ni mwingi kuliko UsuluhishiBaada ya serikali ya Doha, kuanzisha njia ya upatanishi kati ya kundi la AFC/M23 na serikali ya DRC, serikali ya Qatar na USA waliiomba M23 kurudi nyuma na kuachia eneo la Walikale, ambalo lina Mgodi mkubwa wa Serikali ya Canada.
Kagame anaiona Drc mashariki kama himaya yake.Baada ya serikali ya Doha, kuanzisha njia ya upatanishi kati ya kundi la AFC/M23 na serikali ya DRC, serikali ya Qatar na USA waliiomba M23 kurudi nyuma na kuachia eneo la Walikale, ambalo lina Mgodi mkubwa wa Serikali ya Canada.
M23 ilitii agizo hilo, na baada ya kuondoa wanajeshi wake, serikali ya Congo iliwarudisha majeshi yake, na wanaowasaidia,wakiwemo FDLR na Wazalendo.
Huko Doha, M23, iliiomba serikali ya DRC kwanza kuachia watu wake wapatao 700 waliofungwa na serikali.
Raisi wa DRC, ametupilia mbali ombi hilo, na kusababisha pande zote kurudi nchini bila muafaka.
Baada ya kuombwa kuondoa wanajeshi wake Walikale, M23 ikatii, Mgodi wa AlfaMining uliendelea na shughuli zake, baada ya M23 kuondoka.
Leo hii, baada ya makubaliano kutofikiwa, M23 imeanzisha tena vita kuiondoa tena serikali ya DRC katika eneo hilo la Walikale.
Katika hali isiyo ya kawaida, baadhi ya matajiri na viongozi, wameanza kujiunga rasimi na M23.
Siku za nyuma, rais Tshisekedi amekuwa akiwatuhumu badhi ya watumishi wa serikali kuwa ni wasaliti, kutokana na kuwa kila serikali ilichokuwa ikipanga, M23 ilikuwa ikipata taarifa mapema, na kuzitangaza kabla ya serikali kufanya ilichokipanga.