Lwakatare, Jimbo lako umemwachia nani?

Kwa huu utendaji kazi na uwajibikaji wako kama bado kuna kitu chama chako kinategemea toka kwako katika kulitetea jimbo ifikapo 2020 basi kimekwisha, umefeli.

Umekuwa "alama" kubwa sana ya kufeli kwa CDM na Ukawa kwa ujumla jimboni, umeshindwa kabisa kunyumbulika. Hata kuvaa viatu vya mtangulizi wako H. Kagasheki imekuwa mtihani mkubwa kwako, umekwisha na umefeli mheshimiwa.

Hizi ni miongoni mwa ahadi zako 2015; soko kuu, soko la kashai, stand ya mabasi n.k lakini hadi leo hii huna hata jiwe la msingi la mradi wowote kati ya hii, bado tu umebaki kwenye idea (how to start), umekwama. Take off itaanza lini, utamaliza lini, hivi havina majibu tena. Hata ile Bumdeco uliyoandaa hata ukawaita wadau waje wakusaidie kimawazo na ki mbinu nayo leo haikuamini tena, umekwisha, umefeli.

Ukiachia ahadi zako za miradi mikubwa, hata shughuri ndogo ndogo nazo za kijimbo na manispaa zimekushinda, umekwama. Barabara za mjini ni mashimo, mji hauna ruti za mjini, taa za barabarani hazipo, mitalo imeziba, kila kona ni tope na madimbwi mji mzima, n.k. umekwama, umefeli.

Mikutano iliyozuiwa ni ile ya kuongea katika eneo lisilo lako, wewe leo hata kuandaa ile ya jimbo lako ukaongea na wana jimbo wako imekushinda, imebaki ndoto. Sugu kule Mbeya kaongea na wanajimbo wake hivi juzi juzi tu, hivyo wewe kushindwa kuandaa mikutano isiwe tena eti imezuiwa ama unazuiwa bali ni udhaifu wako. Umekwama na umefeli mh.

Labda kuna jingine tusilolijua lakini kwetu sie, kwa vile ilo hatulijui basi tutabaki tunakuona hivyo, na tutaendelea kukuuliza vile vile. Kulikoni mheshimiwa, lile jimbo ambalo ni jimbo lako kwa kuchaguliwa, vipi umemkabidhi nani?

Haya kachukue kopo ukachambe...
Wewe kwenu Nyantakala huko...je ya Bukoba mjini yanakuhusu nini?
 
Huyu rweye ni uzao wa Bashite, anasema mtangulizi wake alifanya vzr lakini barabara zina mashimo, mji hsuna daladala nk, kwa hiyo huyo mtangulizi wake aliviacha hivyo yeye kaviondoa? mbona husemi kuhusu misaada iliyopelekwa hospital okakataliwa kupokelewa kwa maagizo kutoka juu? au mbona humpongezi aliyekula pesa za waadhirika wa tetemeko? bukoba ccm ilionfoka na tetemeko.... MWAAFA
Kushindwa kwa CCM kupitia kwa Kagasheki isiharalishe udhaifu wa huyu wa leo na mkaukumbatia, tambueni upinzani ujiita mbadala wa CCM na katu hawawezi kufanya mafyongo kama CCM. Na mnavyoyakubali mambo ya kijinga ya jamaa yenu eti kisa Kagasheki alishindwa sana sana ni kujivua nguo na kudhihirisha wazi ni kwa kiasi gani mlivyo walaghai na watu wa kusaka vyeo tu. Inawasaidia wananchi kutambua kumbe lengo lenu si kusukuma maendeleo kama mnavyojidai, inaonekana kumbe lengo lenu ni kuitoa CCM tu basi.

Huu ni utoto na ujinga
 
Kwahiyo hiyo misaada ya 2m ndo mnaiona ya kusemwa kila siku, sitaki kuliamini hili hata kidogo. Na ni kama bahati tu kwenu lilitokea tetemeko, naamini kila udhaifu na uchafu wenu woote sahivi tatizo itakuwa ni tetemeko. Kila kitu mtasema tetemeko, hata kama pesa za wahanga zililiwa, nyinyi hamtakiwi kucease eti kisa mlitoa msaada wa 10m kwenye tetemeko.

Hizo ndo changamoto za kuwa kiongozi na unatakiwa kuzikabiri na kusonga mbele, deadlocks ziko kila pahala na kwa kila mtu
 
Uliyo sema ni kweli kabisa bk tuliponzwa na vijana wa boda boda sekido tukamsahau mzee mpenda maendeleo hamisi sued kagasheki
Kagasheki angezuia tetemeko Bukoba uswahili umewaaribu sijui mwarabu aliachaje ile dini pale mngekuwa watu safi sana kama sio hiyo
 
Kagasheki alikuwa na mapungufu yake kweli, tena mengi lakini huyu jamaa wa V kaonesha udhaifu mkubwa mno. Haingii akilini pale wapinzani kuanza kuukubali udhaifu wao eti kisa Kagasheki naye alikuwa mzigo. Haiji hata akilini kukubali kuitwa na mkaupokea udhaifu wenu kwasababu fulani naye aliwahi kushindwa.

Kushindwa hata kupata fungu dogo katika halmashauri kwa ajiri ya kuchonga mitaro wakati madiwani wote wa kwako, hii ni down fall ya hatari. Hata kuchonga mitaro unasubiri bajeti ya serikali kuu?
Mkuu umepita mwaka mmoja tu sifkiri kma ni wakati sahihi wakumjudge mheshimiwa mbunge at least kufikia mwisho wa mwaka huu tutapata picha ya utendaji wake ila kwa jinsi alivyosimama nao wakati wa tetemeko inaonyesha wazi ni mpambanaji...... hta kuna kipindi aliwachangisha wanakagera wanaoishi dar ili waujenge mkoa wao sasa tusubiri tuone hizo approach zake kma zitafanya kazo ndio utoe conclusion sio mwaka mmoja tu unamshambulia mtu yaani hta moja jema kma kugawa vifaa vya hospitalini hutaki kulisema!!!! Madawati n.k

Anyway naona fair judgement ni mwaka huu ukiisha
 
Lissu alishinda kwa 54% tu, endeleeni kujipa moyo, ila 2020 si mbali hatutaki visingizio tu.
Kwa mazingira ya NEC huwa hayaakisi ukweli wa mambo.... sasa lisu akipata 70% unafkiri wataweza kusema magufuli kashinda kwa 80% kwenye hilo jimbo....... ni lazma wapunguze gap ya mbunge ili kuwapa nafasi ya rais ccm kushinda. No wonder kuna majimbo mengi tu ya upinzani wanashinda ubunge ila urais ccm wanabeba ndo unabaki unashangaa.
 
Rweye tushakuzoea....wewe ndo hamjaamini kama Kagasheki alishindwa....Avae viatu gani vya mtangulizi wake?.,.vya kupeleka watu bure Nyakijoga kuhiji??...Tulia kama unakunwa usubiri 2020 mccm wewe....
Iyamu etamiilo
Umeelewa alichomanisha au yu miongon mwa wanywa viroba,, shuntama ohanulilwe
 
Zile fedha za maafa zimewafikia huko Bukoba? Mimi nilichanga 20,000 kanisani kwa ajili ya waliopata maafa Bukoba, je kuna mtu alizipata???
 
Kwa mazingira ya NEC huwa hayaakisi ukweli wa mambo.... sasa lisu akipata 70% unafkiri wataweza kusema magufuli kashinda kwa 80% kwenye hilo jimbo....... ni lazma wapunguze gap ya mbunge ili kuwapa nafasi ya rais ccm kushinda. No wonder kuna majimbo mengi tu ya upinzani wanashinda ubunge ila urais ccm wanabeba ndo unabaki unashangaa.
Acha mbwembwe, mbona kina Sugu, Lema, Nasari wameshinda kwa % nzuri, siasa ni mikakati, 2020 hatutaki tu visingizio kama kiongozi anaamini kipaumbele ni kumsulubu Makonda, acha apoteze miezi kadhaa ku deal na Makonda, 2020 si mbali.
 
We hujui politics mkuu ndo maana unashabikia mie huko kote nimepita i know how ccm does its stuff..... ni hesabu kali zinatumika hasa D'Hondt method of proportion.... nakupa homework kaisome ndio uje hapa kunikosoa.

Pili tunaposema tume sio huru sio mpaka tushindwe tu ila hata tunaposhinda.... ushawahi kuskia tunalalamika tumeibiwa kibakwe au mpwapwa au uyui??? Huko watu hawajaamka so kuichagua sisiemu ni obvious hivyo tutakuwa wanafki tukisema wenje kaibiwa ila lisu kashinda kihalali!!! Double standards once hatuna imani na NEC ni NEC nzima sio kwa kuchagua majimbo..... by the way lissu hta huko ccm ilitaka kumtoa sema tu walipambana kulinda kura pale ikungi ucku mzima so kma asingekomaa by now angekuwa anaangalia bunge kupitia TV.

Mkuu mmi nmeshahudhuria chaguzi nyingi tu..... mshindi huwa anaamuliwa na mtangaza matokeo yani usipolinda kura zako ndo basi tena hata ukienda mahakamani yatakukuta ya kafulila na wenje....... wanaoshinda wote ni kwa kupambana tu so alichokipata sugu kma ni halali basi ni baada ya kupambana sana kma ivyofanya mdeee ila kma kungekuwa na tune huru tungeshuhudia wapinzani wanashinda baadhi ya majimbo kwa 90%......

Kma una bisha mtafute ali mlee wa chadema muulize ilikuwaje alishinda ila walipo rudia kuhesabu alizidiwa kwa kura 10 tu na serukamba???
 
Kushindwa kwa CCM kupitia kwa Kagasheki isiharalishe udhaifu wa huyu wa leo na mkaukumbatia, tambueni upinzani ujiita mbadala wa CCM na katu hawawezi kufanya mafyongo kama CCM. Na mnavyoyakubali mambo ya kijinga ya jamaa yenu eti kisa Kagasheki alishindwa sana sana ni kujivua nguo na kudhihirisha wazi ni kwa kiasi gani mlivyo walaghai na watu wa kusaka vyeo tu. Inawasaidia wananchi kutambua kumbe lengo lenu si kusukuma maendeleo kama mnavyojidai, inaonekana kumbe lengo lenu ni kuitoa CCM tu basi.

Huu ni utoto na ujinga
Ni ujinga kukataa misaada ya mbunge wa upinzani kwa maelekezo kutoka juu, ni uzwazwa kukataa pitisha mradi ya maendeleo kwenya majimbo na halimashauri zinazoongozwa na wapinzani kwa kigezo cha kuwakomoa wananchi, miaka yote 50 hiki chama kimeshindwa kuondoa kero zote hizo lkn mnataka mbunge azimalize kwa miaka 2,........ ukiacha wachumia tumbo, waliobaki kukiamini hicho chama ni wakina bashite tu
 
huwa wanadhani hii nchi ni ya ccm pekee
 
Kwa huu utendaji kazi na uwajibikaji wako kama bado kuna kitu chama chako kinategemea toka kwako katika kulitetea jimbo ifikapo 2020 basi kimekwisha, umefeli.

Umekuwa "alama" kubwa sana ya kufeli kwa CDM na Ukawa kwa ujumla jimboni, umeshindwa kabisa kunyumbulika. Hata kuvaa viatu vya mtangulizi wako H. Kagasheki imekuwa mtihani mkubwa kwako, umekwisha na umefeli mheshimiwa.

Hizi ni miongoni mwa ahadi zako 2015; soko kuu, soko la kashai, stand ya mabasi n.k lakini hadi leo hii huna hata jiwe la msingi la mradi wowote kati ya hii, bado tu umebaki kwenye idea (how to start), umekwama. Take off itaanza lini, utamaliza lini, hivi havina majibu tena. Hata ile Bumdeco uliyoandaa hata ukawaita wadau waje wakusaidie kimawazo na ki mbinu nayo leo haikuamini tena, umekwisha, umefeli.

Ukiachia ahadi zako za miradi mikubwa, hata shughuri ndogo ndogo nazo za kijimbo na manispaa zimekushinda, umekwama. Barabara za mjini ni mashimo, mji hauna ruti za mjini, taa za barabarani hazipo, mitalo imeziba, kila kona ni tope na madimbwi mji mzima, n.k. umekwama, umefeli.

Mikutano iliyozuiwa ni ile ya kuongea katika eneo lisilo lako, wewe leo hata kuandaa ile ya jimbo lako ukaongea na wana jimbo wako imekushinda, imebaki ndoto. Sugu kule Mbeya kaongea na wanajimbo wake hivi juzi juzi tu, hivyo wewe kushindwa kuandaa mikutano isiwe tena eti imezuiwa ama unazuiwa bali ni udhaifu wako. Umekwama na umefeli mh.

Labda kuna jingine tusilolijua lakini kwetu sie, kwa vile ilo hatulijui basi tutabaki tunakuona hivyo, na tutaendelea kukuuliza vile vile. Kulikoni mheshimiwa, lile jimbo ambalo ni jimbo lako kwa kuchaguliwa, vipi umemkabidhi nani?
Rweye,
kwanza naomba kujisalimisha kuwa mimi si mwenyeji wa Bukoba,
kilichonivutia ni hizo shutuma kwa mbunge wako, nikajikuta nakuwa na hamu ya kutaka kujua hivi huo mji wa Bukoba au manispaa hiyo ambayo ndani mwake kuna hilo jimbo la Mh Rwakatale, hakuna mkurugenzi?
 
Mkuu kwa tabia za hawa ndugu zetu ccm wahesabu kufutika mkoani kagera
hata mie nisingepiga
pale ambapo ninamajanga waja nambia katerero sijui ngono wala haikupaswa hata wakusanyike kumsikiliza wangeendelea na shughuli zao tu
 
Back
Top Bottom