Lukuvi na Nape Wamethubutu

Kamusi ya kiswahili


Bashite;
-mtu asiekuwa na akili timamu.
-chizi
-mwendawazimu
-mtu anaependa kujisifu
-Mtu aliepata daraja sifuri kidato cha nne
-Mtu aliyezungusha sahani



Mfano wa sentensi wa neno "bashite"
juma ni _bashite_
daudi ana _ubashite_ kichwani


Hapana mvuto
 
Kitendo cha kijana daudi kujibebesha kesi za sembe kwa mbwembwe za juu ni dalili za mwenye mamlaka yake kupwaya au kuzembea kusimamia kazi zake sasa wacha wachanganyane tuu hakuna namna kila mtu anaonyesha yeye ndie kila kitu one man show tatizo mnapokuwa six men hapo ndipo mchanganyiko ulipo.
 
Kamusi ya kiswahili


Bashite;
-mtu asiekuwa na akili timamu.
-chizi
-mwendawazimu
-mtu anaependa kujisifu
-Mtu aliepata daraja sifuri kidato cha nne
-Mtu aliyezungusha sahani



Mfano wa sentensi wa neno "bashite"
juma ni _bashite_
daudi ana _ubashite_ kichwani


Muda si mrefu neno BASHITE litageuka na kuwa tendo la MTU ALIYEPATA SIFURI KWENYE MTIHANI kama ilivyokuwa enzi za kihiyo
 
Kwa suala la mawaziri na Makonda nakuunga mkono kwa Corner Bar acha wafungiwe na sio hao tu Waende Bar nyengine zinazofuga mashoga na machangudoa, Hapi ana umakini katika maamuzi yake,sorry kama ulikosa huduma mkuu.
Bar itafungwa (may be imeisha fungwa) but umejiuliza swali hili; " baada ya bar hiyo kufungwa, hao machangu wataenda wapi?" Obvious wataenda sehemu/bar nyingine; so kumbe jibu sio kuifungia hiyo bar bali ni kuisambaratisha hiyo biashara ya ya uchangu mjini.
Moja kati ya sababu ya kwanini hizi nchi masikini hua hazitoki mahala zilipo ni hi; tunapenda ku deal na symptoms za tatizo na sio kutibu tatizo lenyewe; yaani mtu ana malaria and umejiridhisha kabisa pasipo shaka kua huyu mtu anaumwa Malaria, badala ya kununua Mseto we unaenda kununua panadol; yes it is true kwamba HOMA itashuka kabisa kwa mgonjwa wako but still wadudu wa malaria watakua wanaendelea kufanya kazi yao, mgonjwa huyo huyo malaria ikipanda kichwani tunashangaa why mgonjwa malaria imepanda kichwani!!!!? That is how we are!!!
 
Kwa suala la mawaziri na Makonda nakuunga mkono kwa Corner Bar acha wafungiwe na sio hao tu Waende Bar nyengine zinazofuga mashoga na machangudoa, Hapi ana umakini katika maamuzi yake,sorry kama ulikosa huduma mkuu.

Mimi sikubaliani na wewe. Pale corner bar makahaba wanajaa mtaa mzima tena wengi wala hawahusiki na biashara ya corner bar. Kwa hiyo mlitaka mwenye baa afanye kazi ya polisi? Mbona Jolly club haijafungiwa?
 
Ni kweli brother, na Kama ndivyo basi hata hapo Dodoma Pindi bunge likianza vikao huwa Malaya wanajaa kila kona ya huo mji, kwa hiyo tuseme basi na Bunge lifungwe? Ifike mahali viongozi wafanye kazi kwa weledi. Hii mihemko haitatufikisha popote
Umepiga katikati mkuu,wenye kusoma wasome
 
Hii Nchi tukianza kuiendesha kwa visasi namna hii tutapata laana. Viongozi lazima watende haki ili Kumfurahisha Mungu na siyo kutenda maovu kwa kumfurahisha mtu.Kazi ya kuwasaka na kuwadhibiti Malaya ktk Mabaa ni kazi ya Serikali kupitia Polisi. Wenye Mabaa wana uwezo Gani wa kupambana na Hawa Machangudoa waliojaa kila kona ya nchi hii? Mambo mengine yanayofanywa na viongozi ni hovyo haijapata kutokea,
Bravoooo Nape!!! umethubutu tunahitaji viongozi wa namna hiyo wasio na woga wala unafiki wanasimamia weledi na wasiyoyumbishwa. Ndalichako uko wapi? toa msimamo wa Daudi Bashiteee!
 
Kamusi ya kiswahili


Bashite;
-mtu asiekuwa na akili timamu.
-chizi
-mwendawazimu
-mtu anaependa kujisifu
-Mtu aliepata daraja sifuri kidato cha nne
-Mtu aliyezungusha sahani



Mfano wa sentensi wa neno "bashite"
juma ni _bashite_
daudi ana _ubashite_ kichwani


Urban Dictionary?
 
Kwa suala la mawaziri na Makonda nakuunga mkono kwa Corner Bar acha wafungiwe na sio hao tu Waende Bar nyengine zinazofuga mashoga na machangudoa, Hapi ana umakini katika maamuzi yake,sorry kama ulikosa huduma mkuu.
Hapi ana umakini upi?
Mwenye Corner Bar anafanya biashara yake kama alivyoomba leseni yake sasa yeye aache biashara yake akahangaike kufukuzana na machangudoa?

Serikali iko wapi?
Uwe unatumia akili otherwise nyie ndiyo walewale mliongia mjini kwa msaada wa Dada zenu.(Shemeji)
 
Jamani wapi Lukuvi kamchana au kumtuhumu Makonda? Matokeo ya kusoma heading halafu unakimbilia JF uwe wa kwanza kuanzisha thread. Duh!
 
Maji yatatafuta njia yake hayatapanda mlima. Machangu watatafuta maeneo mengine mwenye baa ana mkataba gani nao?
 
Miaka inakatika, badala ya ku deal na vitu vya kupeleka Taifa mbele mna deal na vitu vya hovyo hovyo kwa kutaka sifa,wakati Wananchi wameshakosa Dira, hawaoni hata kiwanda kimoja, ati mmebaki na kupima watu mikojo ili mjue Kama wanatumia madawa, sasa hata Kama. Wananchi watanufaika na nini!
haya bwana, kwahiyo wema ndiyo Dira?
 
Ni jambo jema pia muhimu wakumbuke pia kuwasaidia kuwalipia marejesho ya kodi maana ukifika mda wa marejesho ya kodi toka mamlaka husika hawakuelewi kuwaambia nilifungiwa biashara wanachotaka ni kodi yao tu,liangaliwe hilo pia.
 
usimsahau Mbowe na Gwajima, bashite sio wa kumchekea chekea atakuvua nguo hadharani. dawa akimwaga mboga we we mwaga ugali
 
posti hizi zingine yaani zinachefua sn lkn ndo hivo kutifautiana, mtu analesseni ya kuendesha bar na watu kujiuza kweli! hiyo akili au matope, kwavile analeseni basi biashara ya kujiuza ruksa, akitokea mtu kuchukua hatua huita mpenda sifa; hizi ni siasa za kijinga na ni upuuzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom