Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,715
- 4,455
Wakuu. Kwa namna ambavyo Mpina ameendelea kuwa mwiba mkali kwa serikali ya CCM, nashauri angekuwa na tiketi ya ndege na passport kabisa.
=========================================================
Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina akizungumza hivi karibuni na vyombo vya habari na wanahabari hivi karibuni amegusia kuwa Tanzania kwa sasa kuna watu ambao wana vyeo vikubwa serikalini na watu hao sio Watanzania
"Kuwepo kwa viongozi na watendaji wa serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania kunachangia kwa sehemu kubwa kukosekana kwa uzalendo na kuchochea ubadhirifu wa fedha za umma na kwakuwa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama CDF. Jenerali Jacob Mkunda alitutolea taarifa kuwa wapo viongozi na watendaji wa serikali ambao sio raia wa nchi hii”.