Waarabu ni Kazi na bata...wazawa ni hapa Kazi tuu.... ukiwa karibu na bahari ya Hindi kuna kijipepo fulani kinakupepesa mpaka wajiona uko karibu sana na watu wa ng'ambo kuliko wamatumbi.... Imagine mtu wa pwani anaweza kwenda Dubai mara tatu kabla Bashungwa hajafika kwao kwa kutumia barabara anazozijenga.And now wamejiwekea Train ya Umeme ya kwendea Bungeni...itakua hapo mpaka wabara wakome...Ninaiona siasa ya Kenya/kikanda ikihamia TZ si muda mrefu.Ulikuwa hujui kuwa nchi hii kûna vita baridi Baina ya Watu wa Pwani na Watu wa Bara?
Na hii inatokana na tofauti zào za kimila na kimtazamo katika kuyaendea mambo.
Watu wa bara huona wanauzalendo, uchapakazi na sifa ya kuleta maendeleo
Huku Watu WA Pwani Huona Ûtu na Kula Maisha ndîo Jambo la msingi