Nchi yoyote iliyo hai lazima kila siku kuwe na jipya, vinginevyo itakuwa nchi mfu.Hii nchi kila siku kuna jambo jipya, haya ngoja tufuatilie na hili
SawaMawakili wa Luhaga Mpina wanazungumza na waandishi wa habari muda huu.
Yetu macho buwaaaanaaaMawakili wa Luhaga Mpina wanazungumza na waandishi wa habari muda huu.
Tutafika tu mzee. Hawa CCM ni lazima kuwakabia kwa juu, wasipumue...Hii nchi kila siku kuna jambo jipya, haya ngoja tufuatilie na hili
MaendeleoHii nchi kila siku kuna jambo jipya, haya ngoja tufuatilie na hili
Mpin Shikilia hapo hapo usiachie.Mawakili wa Luhaga Mpina wanazungumza na waandishi wa habari muda huu.
Pamoja na nambo mengine, mawakili hao wamesema mojawapo ya kesi zilizofunguliwa ni ile anayomshtaki Spika wa Bunge na Mwanasheria mkuu wa Serikali kwa kunyang'anywa na kunyimwa haki ya kuwakilisha wananchi wa kisesa na watanzania wote kwa vikao 15 Bungeni ambapo msingi wa kesi yake anaamini ameonewa kwa kuondolewa kinyume cha Sheria.
Aidha, Mpina anaamini hatua za kuchukuliwa dhidi yake zilikuwa zimepangwa hata kabla ya yeye kusikilizwa.
Hadi sasa, zaidi ya Mawakili 100 wamejitolea kumsaidia Mpina kwenye kesi hii.
Pia soma
Muhimu usikose bando tuCCM vs CCM
Ni upepo tu hata hili nalo litapita tu.Mawakili wa Luhaga Mpina wanazungumza na waandishi wa habari muda huu.
Pamoja na nambo mengine, mawakili hao wamesema mojawapo ya kesi zilizofunguliwa ni ile anayomshtaki Spika wa Bunge na Mwanasheria mkuu wa Serikali kwa kunyang'anywa na kunyimwa haki ya kuwakilisha wananchi wa kisesa na watanzania wote kwa vikao 15 Bungeni ambapo msingi wa kesi yake anaamini ameonewa kwa kuondolewa kinyume cha Sheria.
Aidha, Mpina anaamini hatua za kuchukuliwa dhidi yake zilikuwa zimepangwa hata kabla ya yeye kusikilizwa.
Hadi sasa, zaidi ya Mawakili 100 wamejitolea kumsaidia Mpina kwenye kesi hii.
Pia soma
Mahakama ni chombo cha kutoa haki. Mpina anatakiwa kutendewa hakiMahakama inaweza kutoa hukumu kuhusu uendeshwaji wa mhimili unaojitegemea wa Bunge na Spika?
Hukumu hiyo haitaharibu uhuru wa Bunge kama mhimili unaojitegemea?
Shida ni kuwa ana hoja nzuri cha kushangaza wabunge woote kimyaaa!!!!Hata kama matokeo hayatatoka leo ama kesho ama hayatatoka in favor ya Mpina, napenda courage yake, napenda fighting spirit ndani yake. Mpina ana ile kitu inaitwa intestinal and testicular fortitude. Sio mtu wa kukubali kushindwa kirahisi.
Tundu Lissu aliwambia watende haki kwa wote kabla hawajaanza kugombana wao kwa wao. Sasa yametimia.Hata kama matokeo hayatatoka leo ama kesho ama hayatatoka in favor ya Mpina, napenda courage yake, napenda fighting spirit ndani yake. Mpina ana ile kitu inaitwa intestinal and testicular fortitude. Sio mtu wa kukubali kushindwa kirahisi.