Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,930
- 19,095
Mnataka makondoo tu?Mpina, anatapatapa, anajua bungeni harudi ni mfa maji haachi kurusha mateke!
Akamatwe aliyekuwa makamu wa rais kwa sababu alijua akifa rais atakuwa rais ndiye akamatweMagufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa Chuo Kikuu UDSM
Jenerali mstaafu Venance Mabeyo alieleza kwa uwazi mkubwa kuwa Magufuli aliugua akapelekwa hospitali ya Muhimbili baadae hali yake ikawa mbaya ikabidi wamhamishie Mzena ambapo ndipo umauti ulipomkuta, sijaona utata wowote hapo,
labda utata angeweza kuhoji kwenye chain ya utoaji taarifa baada ya Rais kufa, japo sioni ni utata wa kuundiwa tume, ila utata huu ulilletwa na serikali ya Magufuli iliyokuwepo kipindi hicho, ambaye Magufuli mambo mengi nyeti aliachwa yasimamiwe na jeshi mfano ni lile la kupora korosho za wakulima na la kupora fedha za bureau de change, hili halihitaji tume
Jingine lenye utata labda ni usiri wa kuugua kwa Magufuli, lakini hili linafahamika kuwa Magufuli alikuwa akiendesha serikali yake kwa usiri, propaganda na denial, hadi anafariki alikuwa akisema ugonjwa wa Corono ulikwishaondoka nchini kwa maombi, Maalim Seif ambaye alikuwa Makamu wa Rais Zanzibar alipougua hadi kufa serikali haikusema lolote alipokuwa akiugua
Mkapa alipougua Serikali haikusema chochohe hadi akafa
Linganisha na kipindi hiki cha Samia ambapo Mwinyi alipougua tulipewa taarifa
Mpina anataka kuaminisha wananchi kuna utata kifo cha Magufuli ila hakurejra chochote chenye utata katika hiyo hotuba yake.
Pia soma Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli
Kwa nini asirudi bungeni??Mpina, anatapatapa, anajua bungeni harudi ni mfa maji haachi kurusha mateke!
🤣Akamatwe aliyekuwa makamu wa rais kwa sababu alijua atakuwa rais ndiye akamatwe
Ulikuwa classmate wa Magu UDSM Hadi ukajua ugonjwa wa moyo aliokuwa nao?Magufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa Chuo Kikuu UDSM
Pia soma Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli
Sasa akamatwe kwa kosa la kuomba uchunguzi mbona unatetemeka mkuuMagufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa Chuo Kikuu UDSM
Jenerali mstaafu Venance Mabeyo alieleza kwa uwazi mkubwa kuwa Magufuli aliugua akapelekwa hospitali ya Muhimbili baadae hali yake ikawa mbaya ikabidi wamhamishie Mzena ambapo ndipo umauti ulipomkuta, sijaona utata wowote hapo,
labda utata angeweza kuhoji kwenye chain ya utoaji taarifa baada ya Rais kufa, japo sioni ni utata wa kuundiwa tume, ila utata huu ulilletwa na serikali ya Magufuli iliyokuwepo kipindi hicho, ambaye Magufuli mambo mengi nyeti aliachwa yasimamiwe na jeshi mfano ni lile la kupora korosho za wakulima na la kupora fedha za bureau de change, hili halihitaji tume
Jingine lenye utata labda ni usiri wa kuugua kwa Magufuli, lakini hili linafahamika kuwa Magufuli alikuwa akiendesha serikali yake kwa usiri, propaganda na denial, hadi anafariki alikuwa akisema ugonjwa wa Corono ulikwishaondoka nchini kwa maombi, Maalim Seif ambaye alikuwa Makamu wa Rais Zanzibar alipougua hadi kufa serikali haikusema lolote alipokuwa akiugua
Mkapa alipougua Serikali haikusema chochohe hadi akafa
Linganisha na kipindi hiki cha Samia ambapo Mwinyi alipougua tulipewa taarifa
Mpina anataka kuaminisha wananchi kuna utata kifo cha Magufuli ila hakurejra chochote chenye utata katika hiyo hotuba yake.
Pia soma Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli
Ni mmoja wao huyo!!Sasa akamatwe kwa kosa la kuomba uchunguzi mbona unatetemeka mkuu
Akiongea akiwa bungeni ana kinga zooote....tuwe tunauliza jamani.....Magufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa Chuo Kikuu UDSM
Jenerali mstaafu Venance Mabeyo alieleza kwa uwazi mkubwa kuwa Magufuli aliugua akapelekwa hospitali ya Muhimbili baadae hali yake ikawa mbaya ikabidi wamhamishie Mzena ambapo ndipo umauti ulipomkuta, sijaona utata wowote hapo,
labda utata angeweza kuhoji kwenye chain ya utoaji taarifa baada ya Rais kufa, japo sioni ni utata wa kuundiwa tume, ila utata huu ulilletwa na serikali ya Magufuli iliyokuwepo kipindi hicho, ambaye Magufuli mambo mengi nyeti aliachwa yasimamiwe na jeshi mfano ni lile la kupora korosho za wakulima na la kupora fedha za bureau de change, hili halihitaji tume
Jingine lenye utata labda ni usiri wa kuugua kwa Magufuli, lakini hili linafahamika kuwa Magufuli alikuwa akiendesha serikali yake kwa usiri, propaganda na denial, hadi anafariki alikuwa akisema ugonjwa wa Corono ulikwishaondoka nchini kwa maombi, Maalim Seif ambaye alikuwa Makamu wa Rais Zanzibar alipougua hadi kufa serikali haikusema lolote alipokuwa akiugua
Mkapa alipougua Serikali haikusema chochohe hadi akafa
Linganisha na kipindi hiki cha Samia ambapo Mwinyi alipougua tulipewa taarifa
Mpina anataka kuaminisha wananchi kuna utata kifo cha Magufuli ila hakurejra chochote chenye utata katika hiyo hotuba yake.
Pia soma Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli
Wewe Bora unge jiitaMagufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa Chuo Kikuu UDSM

Ameandika kuwa " Kifo Cha Magu ,hakina utata wowote"Siungi mkono kuwa akamatwe ajibiwe kwa hoja tu.
Acha hiyo movement ianze pia ndio zitaibuliwa kesi nyingine pending na madhila mengine yaliyofanyika wakati huo na serikali kama imefumba macho.
Tujue ukweli kuhusu Ben Saanane na Azory Gwanda.
Kufariki kwa Leopold Lwajabe.
Kutekwa na kuteswa kwa Roma Mkatoliki(huyu alikimbilia uhamishoni kabisa hadi leo baada ya kuachiwa huru) , Mohamed Dewji
Pia tufahamu waliokuwa nyuma ya shambulio la Tundu Lissu pale Dodoma .
Uvamizi wa studio za Clouds Media Group
Na wafungwa wote wa kesi za kisiasa kuanzia 2016 mchakato wa kuzisikiliza uanze kwa kasi.
Pesa za plea bargain zilizokuwa zinachepushwa benki za Uchina (2019 na kuendelea ) kama alivyosema Samia mwaka jana.
Waliokuwa nyuma ya kesi za uhujumu uchumi ambazo DPP baadae aliweka mpira kwapani na kutimua mbio(hapa tuangalie namna gani wahusika waliochafuliwa majina yao wanarudishiwaje "reputation" zao kwenye jamii japo wengi baada ya kusota gerezani walipoachiwa walienda kuishi uhamishoni.
Na kesi nyingine nyingi ambazo hazikuwahi kutangazwa kutoka na ile sheria kandamizi ya mawasiliano ambayo ilipita kwa hati ya dharura ili kufanikisha mikakati ya watu wachache naamini watu watajitokeza.