Lugha 6 za Afrika zinazotumika zaidi

Asilima 60 ya maneno ya kiswahili ni kiharabu....? Mliosoma kiswahili vizuri fom 3 mnikumbushe aisee labda sikua naelewa vizuri vizuri kwenye kiswahili nadhani hio takwimu sio sawa
 
Kweli Kwenye lugha ya Kiswahili kuna maneno zaidi ya 60% yametoka kwenye lugha ya Kiarabu.

Kwa mfano majina ya namba yote yametoka kwenye lugha ya kiarabu.

Pia,

Darasa, kalamu, kitabu, mwalimu, wizara, waziri, raisi......... Yote haya ni kutoka kwa lugha ya kiarabu.

Swahili language origin inspired by other languages especially Arabic. This is as a result of the historical interaction between the Arabs and the local Bantus.
Asilima 60..? Hapana...mliosoma historia ya kiswahili vizuri fom 3 mnikumbushe aisee hii takwimu nadhani sio sahihi
 
Asilima 60 ya maneno ya kiswahili ni kiharabu....? Mliosoma kiswahili vizuri fom 3 mnikumbushe aisee labda sikua naelewa vizuri vizuri kwenye kiswahili nadhani hio takwimu sio sawa
Kwenye paragraph yako hii ndogo tu, umetumia maneno kumi ya Kiarabu.
 
Tatizo sio kutumia....je unajua kua kingereza kimehathiriwa maneno mengi ya kigiriki....kwenye sifa za lugha yote haya tulijifunza lugha inahasiliwa....asilimia 60 ya kiswahili ni kibantu yanayobaki ni kireno kingereza na kiharabu mkuu
Swahili language origin inspired by other languages especially Arabic. This is as a result of the historical interaction between the Arabs and the local Bantus.
 
Swahili language origin inspired by other languages especially Arabic. This is as a result of the historical interaction between the Arabs and the local Bantus.
Mkuu tuanzie hapa.....unaelwa maana ninaposema lugha za kibantu....?
 
Kweli Kwenye lugha ya Kiswahili kuna maneno zaidi ya 60% yametoka kwenye lugha ya Kiarabu.

Kwa mfano majina ya namba yote yametoka kwenye lugha ya kiarabu.

Pia,

Darasa, kalamu, kitabu, mwalimu, wizara, waziri, raisi......... Yote haya ni kutoka kwa lugha ya kiarabu.

Swahili language origin inspired by other languages especially Arabic. This is as a result of the historical interaction between the Arabs and the local Bantus.
Acha Uongo wewe... Kiswahili kingekuwa na Maneno Asilimia 60 ya kiarabu basi Tungeelewana karibu kwa kila sentensi... Maneno ya Kiarabu kwenye kiswahili ni yakutafuta sana hata 2% sidhani kama inafika... mimi nimesikiliza sana kwenye vipindi Tv Habari, Michezo na TAmthilia za Arabuni naambulia kwa nadra sana maneno ya yaliyoazimwa kwenye kiswahili... Kuna siku nilisikiliza wakasema maneno ya kiarabu yaliyoazimwa ni 30% nalo sikubaliani nalo either Kiarabu kimechange na hawayatumii tena hayo maneno au utamkwaji wake ni tofauti....... Tuache uongo aachiwe Jecha tu
 
Kwa maana nyingine Kiswahili ni Lugha ya Mwisho kuongelewa Africa.. Coz Haus na Hiyo nyingine ni Lugha ya kikabila
 
Acha Uongo wewe... Kiswahili kingekuwa na Maneno Asilimia 60 ya kiarabu basi Tungeelewana karibu kwa kila sentensi... Maneno ya Kiarabu kwenye kiswahili ni yakutafuta sana hata 2% sidhani kama inafika... mimi nimesikiliza sana kwenye vipindi Tv Habari, Michezo na TAmthilia za Arabuni naambulia kwa nadra sana maneno ya yaliyoazimwa kwenye kiswahili... Kuna siku nilisikiliza wakasema maneno ya kiarabu yaliyoazimwa ni 30% nalo sikubaliani nalo either Kiarabu kimechange na hawayatumii tena hayo maneno au utamkwaji wake ni tofauti....... Tuache uongo aachiwe Jecha tu
Kweli mkuu huyo mahamood anataka kutupoteza kabisa wakati hii lugha inasomwa fom 3 historia hatujakataa kua haina maneno ya kiarabu...yapo ila si kwa asilimia 60 aisee tungeelewana na waarabu kbs...sio kiarabu tu pia kiswahili ina maneno ya kireno na kingereza
 
Kweli Kwenye lugha ya Kiswahili kuna maneno zaidi ya 60% yametoka kwenye lugha ya Kiarabu.

Kwa mfano majina ya namba yote yametoka kwenye lugha ya kiarabu.

Pia,

Darasa, kalamu, kitabu, mwalimu, wizara, waziri, raisi......... Yote haya ni kutoka kwa lugha ya kiarabu.

Swahili language origin inspired by other languages especially Arabic. This is as a result of the historical interaction between the Arabs and the local Bantus.
Hahahaha Mkuu tukianzia namba moja mpka lets say trilion moja ni maneno ya kiarabu
 
Kiarabu sio lugha ya Kuazima, Kwa mfano Misri, Morogoro, Tunisia, Libya, Algeria, Mauritania .... Kiarabu ni lugha yao.

Mkuu sisi huku morogoro ingawa tuko nao Waarabu,lakinisio wote tunaozungumza kiarabu, kuna Kiluguru,Kinguu,Kikutu, Kisagara, ,Kividunda,Kikaguru,Kimbunga Kindamba, Kindwewe,Kipogoro,na Kibenamanga.
 
Kweli Kwenye lugha ya Kiswahili kuna maneno zaidi ya 60% yametoka kwenye lugha ya Kiarabu.

Kwa mfano majina ya namba yote yametoka kwenye lugha ya kiarabu.

Pia,

Darasa, kalamu, kitabu, mwalimu, wizara, waziri, raisi......... Yote haya ni kutoka kwa lugha ya kiarabu.

Swahili language origin inspired by other languages especially Arabic. This is as a result of the historical interaction between the Arabs and the local Bantus.

Mbona kingereza kimejaa maneno ya kilatini, kigiriki,kifaransa, kijerumani na kiswahili eg safari, panga nk!!!
 
Back
Top Bottom