Ludovick Utouh: Serikali ya Kikwete ilijaa maadili

hayo mahojiano yalikua ya siku nzima maana aliongea mengi sana au still wanaendelea na mahojiano...maana kila siku jipya CAG kasema ivi mara vile...mengine marudio tuu
 
Dalali namba moja ni yeye mwenyewe,mbona hakujiondoa mapema? Aache unafiki
Wewe ndo mnafiki ambaye hutaki kuukubari ukweli! Ungekua wewe kwenye nafasi yake ungeongea wakati Kikwete yupo madarakani?
 
Acha kumuhusisha Mungu na uchafu wa binadamu?!. Chaguo la Mungu nabii yupi alikuja kumpaka mafuta? Ni kukufuru kusema chaguo la Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…