Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,028
- 32,881
hayo mahojiano yalikua ya siku nzima maana aliongea mengi sana au still wanaendelea na mahojiano...maana kila siku jipya CAG kasema ivi mara vile...mengine marudio tuu
Wewe ndo mnafiki ambaye hutaki kuukubari ukweli! Ungekua wewe kwenye nafasi yake ungeongea wakati Kikwete yupo madarakani?Dalali namba moja ni yeye mwenyewe,mbona hakujiondoa mapema? Aache unafiki
Acha kumuhusisha Mungu na uchafu wa binadamu?!. Chaguo la Mungu nabii yupi alikuja kumpaka mafuta? Ni kukufuru kusema chaguo la Mungu.Wale walio chagua serikali ile kwa hawamu zote mbili ndio maadui wakubwa wa taifa hili kwa vizazi na vizazi. Ule utawala ulichaguliwa kwa kishindo na ni ulikuwa chaguo la mungu! Na malipo ya kuuga mkono serikali dhalimu ni urithi wa umaskini waliokuwa nao hata sasa!!