Lucky “Moyo mashine” afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Cocastic badilika kijana acha kusingizia homoni

Kifo kipo ila sio cha mateso kama John a.k.a lucky kijana wa mwanza ghana
Huko mwanza kuna ni? ndo kushobokea mjini daslamu au? na yule kiokote sijui ki nini alikufaga alikuwa wa mwanza. Ndo wajue hayo mambo kanda ya ziwa hayapo wanafanya wanaishia kufa
 
Nlizani ni mdada ila comments za wadau zinaonesha ni Mwanaume? Kino Mnazingua sana :mad: :mad:
Huyo ni mhamiaji kutoka Mwanza.
Kino inasingiziwa sana.
Wazawa hawana ujinga huo.
Wakuja ni wengi na kino vyumba bei rahisi huko uswekeni.

Usafiri ni gari moja tena masaa yote.

Mtu hawezi kudanga masaki au kuwa bar man samaki samaki posta akapange mbagala lazima atatafuta room kino.

Kama huyu luck moyo mashine alipangishiwaga chumba cha 40,000 nyuma ya masai.
 
Hivi mwanaume anakuwaje shoga sio kwa utamu wa kumkamata mwanamke Oyaa jana usiku nilishikwa na ushetani nilimkamata manzi uchochoro wanangu nikamwambi turuke hapahapa 🤣🤣🤣🤣
 
No naturally lubricant harafu wanafanya kavuu,wajinga sana
Siyo kufanya tu bila lubricant.
Ni kwamba hawa wassenge wanashare sana wanaume.
Wana share mno.
Na huwa wana maisha magumu mno mwenzake akiopoa danga yupo radhi afanye juu chini na yeye awe nae.

Kingine wanapenda starehe za kijinga.
Mtu anaenda bar anataka kunywa heineken sijui castle light wakati hata hela ya kununua maji ya uhai hana kakinunuliwa bia kadhaa anainamishwa kwenye uchochoro.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom