Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,074
John Kufour (Ghana) amegombea Urais mara tano bila mafanikio. Lakini waGhana waliporejewa ufahamu walimchagua tena akitokea upinzani. Sasa siku waTz watakapoamua hata uchakachuaji hautakuwa na nafasi. (Believe it or not)Edward Lowassa huenda akawa Mgombea wa Milele wa Urais kupitia Chadema kama ilivyokuwa kwa Seif Sharif CUF Zanzibar.
Seif kaanza kuwania Urais 1985 na Lowassa 1995 wakati huo Magu yupo zake Mwanza viwandani leo Rais lakin jamaa bado wanakimbiza Upepo