Waziri mstaafu Edward Lowassa anaamini kwamba kuna kila namna inayofanywa na watu fulani ili waweze kuua kabisa upinzani hapa nchini Tanzania, pia ameongeza kwa kusema kwamba Tanzania ni wakati wa kusimia haki zetu.
Akiongea na watu wa moshi mjini Lowassa amesema kwamba pamoja na mambo yanayoendelea na wanayofanyiwa katika kipindi hiki pia na swala zima la kunyiwa kiwanja cha mashujaa na badala yake kupelekwa viwanja vya Majengo, lakini anaamini kwamba shughuli nzima ya kuuaga mwili wa Mh Ndesambuo umeenda vizuri na kumpumzisha katika nyumba yake ya milele.
Mwaka 2020 ni mwaka wetu na tushinde hata kama wanataka kufanya kila njia ya kudhoofisha upinzani
In Lowassa Voice..
Amewashukuru pia mchungaji Gwajima na waziri mstaafu Fredrick sumaye kwa kuongelea swala hilo na kuwahakikishia moshi ushindi mwaka 2020 (Uchaguzi Mkuu)
Lowassa ambaye pia ni mjumbe wa halmashauri kuu Chadema ambaye bado anaamini kwa mara nyingine tena ifikapo mwaka 2020 atapitishwa na chama chake cha Chadema kugombania urais.
Pamoja na kuamini kwamba mwaka 2015 aliibiwa kura zake, anaamini watanzania waliowengi watampa kura za kutosha ifikapo october 2020.
Nani kakuambia ni ndoto?ww unaijua kesho wew?unajua kesho kutatokea nini?Bado anaota ndoto huyo mzee, upinzani kushinda ni ndoto za mchana
Duh!Hahahaha.!... Mkuu hivi NCCR bado ipo?
Acha watu wapambane,ww ni Mungu kwani usimpe?kwani ww ndie unaemuamlia mtu hatma na future ya maisha yake?acha uboyaAna hekima gani tapeli anae Lilia urais kila kukicha Na atakufa Na urais hajapata dadeki
Waziri mstaafu Edward Lowassa anaamini kwamba kuna kila namna inayofanywa na watu fulani ili waweze kuua kabisa upinzani hapa nchini Tanzania, pia ameongeza kwa kusema kwamba Tanzania ni wakati wa kusimia haki zetu.
Akiongea na watu wa moshi mjini Lowassa amesema kwamba pamoja na mambo yanayoendelea na wanayofanyiwa katika kipindi hiki pia na swala zima la kunyiwa kiwanja cha mashujaa na badala yake kupelekwa viwanja vya Majengo, lakini anaamini kwamba shughuli nzima ya kuuaga mwili wa Mh Ndesambuo umeenda vizuri na kumpumzisha katika nyumba yake ya milele.
Mwaka 2020 ni mwaka wetu na tushinde hata kama wanataka kufanya kila njia ya kudhoofisha upinzani
In Lowassa Voice..
Amewashukuru pia mchungaji Gwajima na waziri mstaafu Fredrick sumaye kwa kuongelea swala hilo na kuwahakikishia moshi ushindi mwaka 2020 (Uchaguzi Mkuu)
Lowassa ambaye pia ni mjumbe wa halmashauri kuu Chadema ambaye bado anaamini kwa mara nyingine tena ifikapo mwaka 2020 atapitishwa na chama chake cha Chadema kugombania urais.
Pamoja na kuamini kwamba mwaka 2015 aliibiwa kura zake, anaamini watanzania waliowengi watampa kura za kutosha ifikapo october 2020.
Lowasaa njooo na kipaumbele kimoja tu ajira kwa vijana utakuwa umeshashinda tayari no nchi hiii tu chuo Kikuuu anakosa ajira alafu form four fail anapata ajiraSafi sana mgombea urais wetu wa mwaka 2020, tumeshakusimika baba hakuna mtu mtu mwingine kuingilia "gap" lako. Tuko pamoja mgombea wetu mahiri
Waziri mstaafu Edward Lowassa anaamini kwamba kuna kila namna inayofanywa na watu fulani ili waweze kuua kabisa upinzani hapa nchini Tanzania, pia ameongeza kwa kusema kwamba Tanzania ni wakati wa kusimia haki zetu.
Akiongea na watu wa moshi mjini Lowassa amesema kwamba pamoja na mambo yanayoendelea na wanayofanyiwa katika kipindi hiki pia na swala zima la kunyiwa kiwanja cha mashujaa na badala yake kupelekwa viwanja vya Majengo, lakini anaamini kwamba shughuli nzima ya kuuaga mwili wa Mh Ndesambuo umeenda vizuri na kumpumzisha katika nyumba yake ya milele.
Mwaka 2020 ni mwaka wetu na tushinde hata kama wanataka kufanya kila njia ya kudhoofisha upinzani
In Lowassa Voice..
Amewashukuru pia mchungaji Gwajima na waziri mstaafu Fredrick sumaye kwa kuongelea swala hilo na kuwahakikishia moshi ushindi mwaka 2020 (Uchaguzi Mkuu)
Lowassa ambaye pia ni mjumbe wa halmashauri kuu Chadema ambaye bado anaamini kwa mara nyingine tena ifikapo mwaka 2020 atapitishwa na chama chake cha Chadema kugombania urais.
Lowasaa njooo na kipaumbele kimoja tu ajira kwa vijana utakuwa umeshashinda tayari no nchi hiii tu chuo Kikuuu anakosa ajira alafu form four fail anapata ajira
Wanajisahau sana....wanahangaika mitandaoni ambapo walishashinda tangu 2009. Mimi nimebahatika kutembelea vijiji vingi sana. Naelewa nguvu ya CCM vijijini. Upinzani lazma muhangaikie vijijini sio mijini....Kwa sasa wapinzani wajipange tu..nashuri..wawekeze kijijini zaid..apa mjini tumesha waelewa sana...2020 wanapita bila ubishi..au Rais wa ccm Wabunge 60% wapinzani...
Nsumba boy
Afya haitaruhusu kutembea na gari kijiji hadi kijiji, njia pekee ni kutumia chopa ambayo ni gharama sana kutembea nchi nzima na vijiji vyote.Kwa sasa wapinzani wajipange tu..nashuri..wawekeze kijijini zaid..apa mjini tumesha waelewa sana...2020 wanapita bila ubishi..au Rais wa ccm Wabunge 60% wapinzani...
Ameingia upinzani kuua nguvu, sasa hivi ana nguvu kwenda popote kampeni zikianza anaanza kuvunga watu wake kuwa anajinyea ili apate kupumzika.Dah.... Tamaa yake ya madaraka..... na Tamaa ya fedha ya Mbowe ndiyo viliuua upinzani nchini....
Ulikutana nao wapi?Edo angejipumzikia tu, naona hata ile team yake ya ulipo tupo wameshang'amua ukweli nakujikatia tamaa