Hapana, mashamba wanayo ccm tu
Kama wameshindwa kuwajengea nyumba wahanga wa tetemeko je wataweza kutoa chakula kwa watanzania million 2 wenye njaa
Hapana, mashamba wanayo ccm tu
Mzee ana busara sana huyuAsante Baba Mungu akupe neema ya utakaso hapa duniani.
Kama kuna sehemu yenye njaa namuunga mkono lowasa kupeleka chakula hilo tamko alilolitoa kanisani linaendana na Biblia Yesu alisema nilikuwa na njaa mkanilisha kazi ya chama cha siasa ni kutafuta ufumbuzi wa matatizo halisia ya wananchi. KWA KUTOA UFUMBUZI HALISIA KWA MATATIZO HALISIA ONEKANA KIHALISIA CHADEMA NA LOWASSA HONGERENI Ila MTIMIZE AHADI ZENU TUMIENI HATA RUZUKU KUHUDUMIA WENYE NJAA HALISIA MIMI KAMA MLIPA KODI AMBAYO NI RUZUKU MNAYOPEWA NIKO PAMOJA NA NINYI KWA HILI. TUNATAKA VYAMA VYOTE VITOE UFUMBUZI KWENYE MATATIZO HALISIA. NILIWAPONGEZA HATA ACT WAZALENDO KWA KUSOMESHA BURE BURE WATOTO WOTE KIDATO CHA TANO NA SITA KWENYE HALMASHAURI YAO. HONGERA CHADEMA HONGERA LOWASSA MKIWEZA TAFUTENI HATA PESA ZA KUKOPESHA WANAFUNZI ELIMU YA JUU. MTAUNGWA MKONO NA KILA MTU MIMI NIKIWEMO. TUNATAKA CHAMA CHOCHOTE KITATUE MATATIZO HALISIA YA WANANCHI KEEP UP LOWASSA AND CHADEMAMjumbe wa kamati kuu chadema MH Edward Lowassa akiwa na mbunge wa bukoba mjini wameuzulia ibada katika kanisa la KKKT akiwa kanisani MH Lowassa ametoa kauli
Mh rais amesema hatatoa chakula , mimi nimewasiliana na chama changu tumeona tuwape chakula watanzania naamini dunia itasikia
# kwanini lubuvya ulichakachua kura zetu jamani
He's the one!Sounds like a man who supposed to rule this country.
Huenda wakatoza kodi hata huo msaada kutoka kwa wahisaniSafi sana. Ila namashaka kama kitawafikia walengwa.
naona umeishiwa pumzi, bado nangoja FARU JOHN PUMBA atasema nini