Lowassa Amgaragaza Magufuli kura ya maoni

Jamani msijemwongezea kosa mmiliki wa JF maana ni hatari kwa mtu anayependa kisifiwa ashindwe kwa kira za maoni
 
hivi akili yako umeiacha wapi
Hivi wewe mla michenbe na sangara si ubakie Chato ukiuza samaki na vitumbua kwenye stand ya basi tu au?,siasa au utandawazi unaujua wapi wewe? kwanza hata choo kwenu hakuna.Ukishikwa haja lazima utoke na jembe kwenda vichakani au vipi?
 
Waziri Mkuu wa zamani Mhe.Edward Lowassa amemgaragaza Rais John Pombe Magufuli kwenye kura ya maoni (opinion poll) iliyoendeshwa na gazeti la Raia Mwema kupitia ukurasa wake wa Tweeter. Katika kura hiyo RaiaMwema waliuliza ni mwanasiasa gani aliyekua na mvuto zaidi kwa mwaka 2016, ambapo 39% ya wapiga kura wamemtaja Lowassa, 36% wamemtaja Rais Magufuli, huku Tundu Lissu akishika nafasi ya 3 kwa 17% na January Makamba akiburuza mkia kwenye orodha hiyo kwa 08%.


Raia mwema ndiyo gazeti gani hilo? Je linasomwa na Watanzania wangapi ama ni gazeti la kufungia chips?
 
Back
Top Bottom