Lowassa ameathiri familia nyingi kisiasa na kiuchumi. Majibu yake ya "no comment" hayasaidii

Mbaya hata waliokua wakimuunga mkono akiwa na kijani wakawa wanahujumu chama ili akishinda wakimbie sasa wananyooshwa juu ya unafiki wao na bado
 
Mkome kumfananisha Lowassa na mambo yenu ya kibwege yaani mmebamizana makofi huko yameuma sasa mnaanza kumtajataja rais wangu shwain zenu yaan akili zako na bashite is an exact replica! Makofi awatandike nkurunzinza kilio mnapeleka kwa Lowassa shame on you waambie hao waliofukuzwa wakajiajir maana ndo wimbo walikuwa wanatuimbia
 
mikono michafu haibebi kisafi Bali ileiliyo michafu hubeba kilicho kichafu

walio timuliwa uanachama ccm waende cdm njia nyeupe maana kampeni za chadema 2020 itahusu mfumuko wabei tu hakuna jingine lolote watakalo lisemea
 
Back
Top Bottom