barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,375
- 29,732
Dah, uko sloo sana kijana! Fikiri kidogo nje ya boks, usiwe mzee wa ganda la ndizi! Unataka nikitafunie kila kitu unielewe?Kumbe tunajadiliana na Bashite! Wapi nimesema Lowasa ni malaika? Nimekukatalia hoja yako ya kusema Lipumba anaweza kusimama kukemea ufisadi kwa kuwa anachokifanya sasa ni ufisadi wa kiwango cha juu mno! Inawezekana kwa kiwango chako huwezi kuelewa hiki...