Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
- Thread starter
- #41
Kwani Lumumba ndo nini? Unajua jinsi unavyosema na kuamini ndo wengine wanajua we umekaa kisiasa. Uko radhi kukutetea jambo hata kama chama chako kinapotea.
Na hapo ndo unaingiza maneno ya kujitutumua juu ya uelewa wa wengine. Usiwe na upande kulazimisha wote waamini chako.
Ndo maana nikasema unafikiri Lowassa alishinda?
Nilifikiri utakuja na facts na si kujiona we ndo umeenda sijui shule au ndo mwanasiasa sana.

Tatizo ni kwamba hamna upeo na uelewa wa mambo. Hii ni moja ya pungufu kubwa la Lumumba na utararibu wake to unleash vijana kwenye mitandao ya kijamii kwa ujira bila ya kuwaandaa. Mbona ni kawaida kwa chama cha siasa 'kushinda urais' lakini kikakosa majority ya viti vya ubunge? Fanya utafiti, ukiweza uliza humo humo Lumumba.
Tangia uhuru wa Tanganyika, ingawa uchaguzi wa Rais na Wabunge umekuwa ukifanyika katika kipindi kimoja, uchaguzi wa wabunge na Rais una dynamics tofauti kabisa. Hizi huwa ni chaguzi mbili tofauti. Fanya utafiti, ikiwezekana uliza humo humo Lumumba.