Lowassa ajifunze kutoka kwa Ridhwani Kikwete!

VILA.ZA
1.BARBAROSA
2.LIZABONI
3RUTASHOBOLWA

Nyie ni wagonjwa wa akili bila kumsahau faiza foxy

Watu tunajadili kupanda kwa umeme nyie kama kawaida yenu kuendekeza unazi tu

Mtaolewaaa
Kuna binti nani sijui yule nae nijipu kwa kweli
 
Nani ajifunze kwa nani hasa. Shame on you.
Nani amekuambia kuwa Rizi ni role model wa yeyote. Kama ni wa kwako sishangai kuwa unaweza thubutu kutaja sentensi kama hiyo. Pole ujifunze kutambua role models :)
 
Hao wote hawamfikii lowassa wakati lowassa ameanza kuitafuna nchi hao uliowataja walikuwa nobodies. Kikwete alipewa lift ya ndege aliyokodi lowassa kwenda dom 1995.
kama kipindi chote kaitafuna mwl Nyerere ina maana alikuwa mnafiki kama magu inamaana alishindwa kumkamata Lowassa?? Maana nasikia mahakama ya Mafisadi imekosa kesi mpaka sasa
 
kama kipindi chote kaitafuna mwl Nyerere ina maana alikuwa mnafiki kama magu inamaana alishindwa kumkamata Lowassa?? Maana nasikia mahakama ya Mafisadi imekosa kesi mpaka sasa
Walishindwa kumkamata kwa sab ya ujanja wake pia kulindana kulikojaa ndani ya ccm angalau kamati ya bunge ilithibitisha ufisadi wake imetutoa kimasomaso. Lowassa ni fisadi mjanja sana asiyekamatika fisadi ambaye anafanana na mafia kule italy.
 
Cha ajabu Lowasa mtaani kwa wasomi wachumi vijana ndo kila dili,achana wapiga kelele za chuki humu. Kama mnabisha ruhusuni afanye hata mkutano mmoja tu ndo mtaelewa watu wa nataka. Mbona huyo mwoga kaogopa??
 
Lowassa hawezi kuachwa apumzike na watanzania jinamizi la ufisadi alioufanyia nchi litamtafuna mpk aingie kaburini tuna hasira naye saana bahati yake kulindana kwa ccm ndo kulikomfanya aendelee kupiga misele otherwise hakutakiwa kuwa hata mbunge alistahili kuwa behind bars by now ole wake.
Fisadi?leta ushahidi.mahakama ya magufuli ipo.mbona imekosa wafungwa?
 
Mna chuki na Lowassa mlikuwa naye mda mrefuu leo hii mnajifanya mnakuja na kutapikia hapa hoja zenu mfu. Mwacheni ale bata alivuna bhana
Alipokuwa ccm aliyaficha haya mambo sababu alijua upinzani watamsumbua..kwa sasa yupo huko ndio maana anaonyesha Mali zake..anajua ameshawatia pini wana chadomo..kilanga komo
 
Back
Top Bottom