Lowassa acha kuhadaa Watanzania, sema ukweli wako juu ya kuchukia umasikini

Wewe umejitokeza na kujipambanua kama unayechukia umaskini. Kwa mujibu wako, unatamani kuona wananchi wa Tanzania ni matajiri. Kauli yako ya kuuchukia umaskini umeanza nayo Arusha ulipotangaza nia. Unendelea, kila unapopita kutafuta wadhamini,kusema kuwa nauchukia umaskini. Na umefika kusema kuwa Rais maskini asichaguliwe! Eti unawaaminisha watanzania kuwa wewe ndiwe dawa ya umaskini.

Lowassa acha hadaa. Acha uongo, utapeli na ulaghai. Huoni aibu kuendelea kusema uongo juu ya uwezo wako wa kupambana na umaskini wa Tanzania? Imekushinda Monduli ndiyo uiweze Tanzania nzima?

Umekuwa Mbunge wa Monduli tangu mwaka 1990. Umekuwa Serikalini tangu Serikali ya Rais Mwinyi hadi ya Rais Kikwete. Pamoja na ukwasi wasiwasi na nafasi ulizokuwanazo muda wote, umaskini wa Monduli umekushinda.

Lowassa, sikuchukii lakini jitahidi kuwa mkweli. Mambo yako ya maigizo hayatakusaidia kitu hata kama ndiyo uliyoyasomea Chuo Kikuu. Monduli bado iko nyuma kimaendeleo (kiutajiri).

Huduma za kijamii zimedorora na ziko nyuma kama sehemu kubwa ya nchi hii. Ubunge wa miaka 25 katika eneo dogo la Monduli umeshindwa kuondoa umaskini, utaweza Urais wa miaka 5 wa kuondoa umaskini wa Tanzania nzima?

Lowassa badili gia. Badili wimbo wa safari yako ya Matumaini. Iko wazi kuwa huna ubavu wa kuondoa umaskini. Labda unalenga kuendelea kulinda na kuimarisha ukwasi wa wasiwasi ulionao. Be realistic and truthful!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Namshukuru sana Mungu huyu Bwana hakushinda Urais. Mambo yangekuwa mabaya na ovyo kupita maelezo. Asante Mungu na naamini utatuepusha naye 2020.
 
Wewe umejitokeza na kujipambanua kama unayechukia umaskini. Kwa mujibu wako, unatamani kuona wananchi wa Tanzania ni matajiri. Kauli yako ya kuuchukia umaskini umeanza nayo Arusha ulipotangaza nia. Unendelea, kila unapopita kutafuta wadhamini,kusema kuwa nauchukia umaskini. Na umefika kusema kuwa Rais maskini asichaguliwe! Eti unawaaminisha watanzania kuwa wewe ndiwe dawa ya umaskini.

Lowassa acha hadaa. Acha uongo, utapeli na ulaghai. Huoni aibu kuendelea kusema uongo juu ya uwezo wako wa kupambana na umaskini wa Tanzania? Imekushinda Monduli ndiyo uiweze Tanzania nzima?

Umekuwa Mbunge wa Monduli tangu mwaka 1990. Umekuwa Serikalini tangu Serikali ya Rais Mwinyi hadi ya Rais Kikwete. Pamoja na ukwasi wasiwasi na nafasi ulizokuwanazo muda wote, umaskini wa Monduli umekushinda.

Lowassa, sikuchukii lakini jitahidi kuwa mkweli. Mambo yako ya maigizo hayatakusaidia kitu hata kama ndiyo uliyoyasomea Chuo Kikuu. Monduli bado iko nyuma kimaendeleo (kiutajiri).

Huduma za kijamii zimedorora na ziko nyuma kama sehemu kubwa ya nchi hii. Ubunge wa miaka 25 katika eneo dogo la Monduli umeshindwa kuondoa umaskini, utaweza Urais wa miaka 5 wa kuondoa umaskini wa Tanzania nzima?

Lowassa badili gia. Badili wimbo wa safari yako ya Matumaini. Iko wazi kuwa huna ubavu wa kuondoa umaskini. Labda unalenga kuendelea kulinda na kuimarisha ukwasi wa wasiwasi ulionao. Be realistic and truthful!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
When you set a goal it must be realistic specific and measurable '
  • Specific.
  • Measurable.
  • Attainable.
  • Relevant.
  • Time Bound.
 
Back
Top Bottom