Low Key Wanaume Wanapenda Wanawake Wenye Hela kama tu wanawake tunaopenda mabuzi.

lara 1 unankoshaga sana roho,

ila hao wanaotegemea wakezao ni wanaume wa dar tu, huku mikoani principal kubwa ya ndoa ni lazima umzidi mkeo pesa especially kama anaelimu nzuri na figure ya ukweli. kwenye pesa lazima umzidi piga/garagaza/ua lazima umzidi pesa.

otherwise utakuwa kama wa dar tu.
 
Haina USHEMEMJI WAMA MAKOMBO WENGINE WANAKULAGA TU. HAHAHAHA. Ila on serious note sio wanaume wote wanaokusaidia wanataka papa. Wengine wanakuhurumia tu mwanamke ulitakiwa uwe umewekwa ndani unashinda na kanga moja ila maisha yamekupenya unakomaa na high heels kutafuta riziki. Wanaingiwa imani wanakusaidia tu
Najitoa akili! Nakubaliana na wewe, walikuwa wanakusaidia tu, kwa kukuonea huruma.
 
Kumbe munawaonea wivu wamama wa nyumbani
 
Najitoa akili! Nakubaliana na wewe, walikuwa wanakusaidia tu, kwa kukuonea huruma.
The DEVIL IS NOT SO BLACK AS HE IS PAINTED, AND MEN ARE NOT THAT HARMFUL. WOGA WAKO UMASIKINI WAKO
 
Asilimia 1%katika mia kama Kylyn, Jessica MSD, Faraja Kota sio wamama wa uswahilini chupi inawapa mawazo kununua. Hahahaaaa. Au wanashinda nyumbani wanafagia mbolea za kuku. Haaaaaaaa. Akhaaaaa.
Ndio kutamania ivoo sema wewe unatamani kwa wenye status hiyo ..kazana na kuvaa high heels upambane wa kukabakisha na kanga moja ndio hivyo tena ishakuwa mtihani.
 
Wapo hata hapo chuoni kwako. Hujui tu kusoma alama za nayakati. We demu ana miaka 19 ana ndinga kali unafikiri akikua atakuwa mwenzio? Thubutuuuuu. Ubamuwahi mapemaaa. Maisha yanapenyaaa mdogo wangu usisikie.
Nimemaliza. Alokua Na Ndinga Ya Maana Chuo Alikua Sponsored Na Branch Manager CRDB Na Bado Dadaake Ni Kuwadi Alikuq Anamkuwadia Kama Anavyokuwadia Kina Wema Na Bongo Movie. Sasa Apo Mie Si Sawa Na KILUVYA United Nikacheze Na Bayern Wakat Arsenal Tu Kala 10-2.
Niajiri Bas Apo Kijiweni Kwako.
Niongeze Kamvuto Kakikinga.
 
The DEVIL IS NOT SO BLACK AS HE IS PAINTED, AND MEN ARE NOT THAT HARMFUL. WOGA WAKO UMASIKINI WAKO
Nimekuelewa hapo kwenye sentensi ya mwisho tu. ( WOGA WAKO UMASIKINI WAKO)
Huko kwingine kama Umeniombea, amina. Kama umenitukana, Mwenyewee!
 
Yaan ulichokiandika kipo katika kichwa changu kabisa, hakuna mwanaume anayependa kuoa mwanamke kapuku basi2 huwa inatokea
 
Hahahahaha
lara 1 buanaa. Umeanza nao vzuuuri na kuwapamba alafu mwisho umewang'ata
Kiru, ndorooboe ngoja nikaangalie kuku zangu wasijenifia mie
 
Mbona hao wanaume hutwambii kwa jinsi gani walikua wakikundinya ,,usitudanganye cc mwanamme yyte anaetoa msaada kwa mwanamke basi ujue huo msaada lazima utazaa matunda hatutoagi bure sisi
 
Back
Top Bottom