mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,213
- 22,759
Bila kucheki afya ni ngumu kakaHaha hapo ndo mtu atakimbia mana me nilimwambia tutaenda kufanya check up hakujibu
Bila kucheki afya ni ngumu kakaHaha hapo ndo mtu atakimbia mana me nilimwambia tutaenda kufanya check up hakujibu
Hahahahahahausingejitokeza ningeshangaa, usichelewe ku renew na birth certificate hahahahahah
Hiii picha ipo kila Social Network acha kutudanganyaHii hapa...
View attachment 368655
Kuwalemba akina dada salon..Unafanya kazi gani mjini?
Ivi hii dunia INA wadada kama awa amakweli tutakosa wakuoa uyu akiwa mke Wang ntakua natembea na gobole kila anapopta hasa mtaanHii hapa...
View attachment 368655
Cecy huyu,Mbeya 1 forest ya zamani pale,hehehHii hapa...
View attachment 368655
Mume wa mtu vipi? Utakubali kuwa mchepuko?Hello,
Naamini mwenza anaweza patikana popote na humu pia naamini wapo walio serious na uhitaji wa kweli.
Mimi ni msichana, umri wangu 27, mkristo na black in colour
Kama Mungu atapenda natamani nimpate a serious man, umri kuanzia 29-36,awe mkristo, na mwenye nia ya dhati ya mahusiano.
Kama tutamatch mambo mengine tutafahamishana.
Nimekuelewa, nipo tayari myHello,