Hello members,
Nahitaji Desktop computer yenye specs nzuri. Nimepata Quote moja lakini napenda kuwa na hakika kuwa sijapigwa changa la macho. Quote yenyewe hii hapa chini:
"Hi the dell PC price is as follows,
specs
Intel Pentium dual core 1.8 ghz, 1 gb memory, 160 gb hdd, dvd combo, 17" TFT and DOS OS.
windows and other software will not be installed unless you have valid genuine copy.
Price Tshs 960,000/= "
Sasa kama kuna mdau anajua naweza kupata yenye similar specs anisaidie maana nahitaji kwa sana. Kama sintopata alternative nitalazimika kununua japo ghali.
Ahsanteni