Looking for a computer

Hello members,

Nahitaji Desktop computer yenye specs nzuri. Nimepata Quote moja lakini napenda kuwa na hakika kuwa sijapigwa changa la macho. Quote yenyewe hii hapa chini:

"Hi the dell PC price is as follows,
specs

Intel Pentium dual core 1.8 ghz, 1 gb memory, 160 gb hdd, dvd combo, 17" TFT and DOS OS.

windows and other software will not be installed unless you have valid genuine copy.

Price Tshs 960,000/= "

Sasa kama kuna mdau anajua naweza kupata yenye similar specs anisaidie maana nahitaji kwa sana. Kama sintopata alternative nitalazimika kununua japo ghali.

Ahsanteni

Je ukipata laptop ya specs kama hizi;

HP laptop featuring AMD Turion 64 x2 Dual Core processor, Windows Vista Home Premium, 2GB RAM, kati ya 160 hadi 220GB storage and a 15.4" widescreen display.

Kwa bei hiyo hiyo, specs zikishuka na bei inashuka. Does it have to be Dell?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom