Mzee Kijana
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 1,433
- 1,131
sasahivi ameshajua namna walivyomposti jf maana tumeenda kwake akatwambia kwamba "najua mmeniposti jf ili wanitumbue lakini bado mmenikuta mbaya wenu" tukamwambia sisi hayo hayatuhusu tupe majina tusign bum .
kiujumla jamaa anaboa na bila kumheshimu unaweza kumtemea mate
Sasa si ujaribu kumtemea mate? Mtu mnaye hapo chuoni badala ya kumkabili mnakuja kulialia hapa JF. Ukiona hivyo ujue hamna hoja yoyote zaidi ya utoto na ndiyo maana pamoja na kujidai wasomi mmethibitisha kuwa ninyi ni vilaza wa hali ya juu kwa kushindwa kujibu bandiko langu namba 31 karibu mwezi mzima sasa. Inaonekana hata coursework zenu ni za kudesa tu nyie. Sasa mtasaidiwa vipi ikiwa hata ushahidi hamna?