bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,688
Kila la kheri..asante mzee baba nijipange kuingia tu kuingia kibanda umiza
Kila la kheri..asante mzee baba nijipange kuingia tu kuingia kibanda umiza
Kwani hii mech itaonyeshwa dstv au?
Shukrani MB ngapi inakula?
3Shukrani MB ngapi inakula?
Yani leo liver amegongwa gongwa amegongwa gongwa mpk amekata tamaaa!Hiyo game vip. Itakuwa na vionjo gani
Hahahaaa anajifanya mbabe sasa kakutana na wenyeweYani leo liver amegongwa gongwa amegongwa gongwa mpk amekata tamaaa!![]()
Hahahaaa anajifanya mbabe sasa kakutana na wenyewe
Na bado jmosi![]()
Jmos atakufa mapema sana