Mzee Wa Rubisi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,757
- 442
Nimeuliza swali.Kama sio kweli na wewe ni mnywaji wa rubisi tupe ukweli.Mmm, mtizamo wa kizamani, kwa hiyo kiwanja cha liverpool ujaza wazee.
Ukiona mtu shabiki wa liverpool, Jua anamapenzi ya kweli afuati miemuko ya kombe la ligi tu. Basi ata stivin Gerard utasemajeNimeuliza swali.Kama sio kweli na wewe ni mnywaji wa rubisi tupe ukweli.
Halafu
Ujaza= Hujaza.
Wawape tu si tunataka makombe hela mi hainisaidiiPundit Nicol anasema Milion 70 kwa Keita is too much!
Historia ya SG unaijua vizuri?Ukiona mtu shabiki wa liverpool, Jua anamapenzi ya kweli afuati miemuko ya kombe la ligi tu. Basi ata stivin Gerard utasemaje