michael nyasio
New Member
- Jul 13, 2016
- 3
- 2
Kuna vigezo vinaangaliwa na wataalamu wa mpira kwahyo msijaji chochote kuhusu viwango hivi maana wametumia taaluma zaohata Wales naye amenishangaza mm kufika hapo alipo
Kuna vigezo vinaangaliwa na wataalamu wa mpira kwahyo msijaji chochote kuhusu viwango hivi maana wametumia taaluma zaohata Wales naye amenishangaza mm kufika hapo alipo
Kuna vigezo vinaangaliwa na wataalamu wa mpira kwahyo msijaji chochote kuhusu viwango hivi maana wametumia taaluma zao
Na wapa na link...Football rankings: FIFA Ranking: July 2016 probable ranking (II)Mpangilio uko hivi wa FIFA
1.Argentina
2.Belgium
3.Colombia
4 Germany
5. Chile
6 Portugal
7.France
8.Spain
9.Brazil
10 Italy
11 Wales
Kwa upande wa Afrika Mashariki yaani Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda, nchi ya Uganda imeonekana kuongoza kwa kuwa nafasi ya 69 ikifuatiwa na Kenya 86, Rwanda 111 na Tanzania ikiwa nafasi ya 123. Hii ni list mpya ambayo imetoka leo July 14 2016,
Kwann kabebwa hivi ni watz tutabadilika??belgium kabebwa
mi naona kama tunaonewa vile , kwa mfano Kenya wametupita vipi zaidi ya kuwa na mchezaji huko EPL? vilabu vyetu naona bado vinajitahidi ukilinganisha na Kenya ....yaani pamoja na Serengeti boys kufanya yao mwezi huu bado wanatusogeza mbali zaidi? ....
Naomba mnieleweshe bila mihemko Kenya wametushinda vipi kwa nafasi zote hizo
Kila game inakuwa na points zake kulingana na uzito wake. Kwa hiyo kama timu ilikuwa chini sana, kuchukua ubingwa hakumpaishi hadi top spot kwa mara moja. Points zinakuwa zinaongezeka cummulatively, kama sikosei.Sasa hapo kidogo Wales kaonesha msisimko huyo Belgium kala kwa Wales na Chile kachukua ubingwa America kule inakiwaje hapo!!!
Kila game inakuwa na points zake kulingana na uzito wake. Kwa hiyo kama timu ilikuwa chini sana, kuchukua ubingwa hakumpaishi hadi top spot kwa mara moja. Points zinakuwa zinaongezeka cummulatively, kama sikosei.
Sawa lakini kumbuka Chile anachukua hili kombe mara ya pili hii na navyojua mie kama timu itaifunga timu ya juu inapata point nyingi ma hii Argentina imeingia fainali na Chile mara ya pili zote katokota iweje isipande ikaipita Belgium ambayo hata nusu haikufika any championship?!! Ndio hapo napojiuliza sidhani lama vigezo vyao vipo fresh kama hawana ubaguzi na other continents...
Unuajua ni criteria gani wanatumiaa kupanga hivyo viwango?Belgium?!!
Na Chile jee?!!
Kuna namna hapa sio bureee....
Unajua vigezo vinavyotumika angalia nchi yako iko wapi?belgium kabebwa
Huo ndo ukweli mkubwaa saana....Bongo soka Atujui.Sisi midomo mingi na kila mtu ni mchambuzi wa Soka
Kwani kabla final Chile ilikuwa ya ngapi???Hili la Tz linajulikana alidraw na Kenya friendly akafungwa na Misri na karibia timu zote za East Africa zililala ila sie tukadraw ile friendly...ikatubeba maana hao walishuka pia sasa hapa kwa Belgium na Chile hapa ndio jipu baba hili ingekua kwetu washatumbua...
Chile ilikua ya 16...final za world cup Brazil ikaenda ya 7 kumbuka ilitolewa na Brazil kwa PSO...ikachukua kombe la Copa ikawa hapo hapo...ikachukua sasa hivi imepanda nafasi 2 mpk ya 5 wakati iyo Belgium nayoisema haijafanya lolote la maana tokea 2013 ilipoingia robo World cup 2014 ikatolewa...lakini leo ipo namba 2...hatariii!!!Kwani kabla final Chile ilikuwa ya ngapi???
Umeona eeh? Wana soka la kwenye tv na magazetiMaskini "nchi yangu" ya epl na soka la media!
Mechi za kufuzu euro haikufanya chochote!??Chile ilikua ya 16...final za world cup Brazil ikaenda ya 7 kumbuka ilitolewa na Brazil kwa PSO...ikachukua kombe la Copa ikawa hapo hapo...ikachukua sasa hivi imepanda nafasi 2 mpk ya 5 wakati iyo Belgium nayoisema haijafanya lolote la maana tokea 2013 ilipoingia robo World cup 2014 ikatolewa...lakini leo ipo namba 2...hatariii!!!