Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,280
12,909
Tundu Lissu akielezea kuhusu muungano wa mchongo.

Aelezea kuhusu wapinga muungano wa kizanzibari kutekwa na kuwekwa vizuizini, Jumbe na wenzake.

Sikilizeni hapa cheche zake.

 
Kwamba kodi zetu hazina kazi zaidi ya kulipia marais watatu misafara?

Muungano siku zote ni serikali 1, haya mambo ya serikali 2 au 3 mliyaota wapi?!
Kwa nini tuwe na serikali nyingine ndani ya Muungano kama ilivyo sasa wakati Muungano ni Serikali moja?

Yaani kwenye familia yako unaweza kuruhusu mtu mwingine awe Baba ambaye atacontrol baadhi ya wanafamilia huku wewe ndio ukiwa Top controller wa wote?
 
Kwa nini tuwe na serikali nyingine ndani ya Muungano kama ilivyo sasa wakati Muungano ni Serikali moja?

Yaani kwenye familia yako unaweza kuruhusu mtu mwingine awe Baba ambaye atacontrol baadhi ya wanafamilia huku wewe ndio ukiwa Top kucontrol wote?
Bara ndiyo top control!!
 
Back
Top Bottom