MasterGamaliel
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 882
- 962
Inaonekana Tanganyika itajitokeza kutokea Mwanza ya Malawi Mbeya
Jeshi la Polisi Professional linapokea oda kutoka kwa DC ambaye ni Kada wa Chama???ni muhimu kujiepusha na ukaidi, ni vyema kutii Sheria, makatazo na maonyo ya kiusalama bila shuruti,
vinginevyo,
jeshi la polisi litakabiliana na kiburi yako vizuri tu 🐒
Vyama visivyo na sera hatuwapi nafasi hata kidogo, tunakaba mpaka penati.CCM Wanafanya watakavyo ipo siku nao watakuwa Wapinzani
muhalifu yeyote hata akijificha nyuma dosari na kasoro za katiba ashughulikiwe tu kuepuka usumbufu na uvunjifu wa amani...Jeshi la Polisi Professional linapokea oda kutoka kwa DC ambaye ni Kada wa Chama???
Katiba yetu ni mbovu sana aisee
Bi Faiza punguza chuki huo ni uchafu wa roho and since nimeamua kuwa Muislam safi nimetokea kukuheshimu sana lakini una chuki na ubaguzi sanaVyama visivyo na sera hatuwapi nafasi hata kidogo, tunakaba mpaka penati.
Ukiona chama hakina sera elewa kuwa hicho ni chama cha wahuni tu.
Upinzani wa CCM utatokea CCM. Kumbuka hilo.
Haya bhana sijui ni nini kinachokufanya uamini mwenzako ni Muhalifu kwa sababu ya utofauti wa itikadi?muhalifu yeyote hata akijificha nyuma dosari na kasoro za katiba ashughulikiwe tu kuepuka usumbufu na uvunjifu wa amani...
na maeneo mengine ndio maana katiba hufutwa au kusitishwa matumizi kwasabb ya ujambazi kama hao waliokamatwa huko, wanalazimisha kufanya fujo 🐒
Upande wa Mungu UTASHINDA!!!!
lkn haki itendeke, tunakoenda akhera watu watajuta tunayofanya hapoa dunianiNani wako upande wa Mungu!!?
Labda mungu wa MOSHI.
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limewakamata watu wote waliokuwa ofisi za CHADEMA kanda ya Nyasa akiwemo Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara Mhe. Tundu Lissu, Katibu Mkuu. John Mnyika na Mwenyekiti wa Kanda Joseph Mbilinyi (SUGU) pamoja na viongozi wa BAVICHA.
Pia soma: Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani
Viongozi hao wamekamatwa mda mfupi baada ya kumaliza kikao cha ndani kwenye ofisi hizo pamoja na viongozi waandamizi wa Bavicha na waandishi wa Habari wa Jambo TV Online waliokuwa wamepiga kambi kwenye ofisi hizo nao wamekamatwa
Jambo TV
Vyama visivyo na sera hatuwapi nafasi hata kidogo, tunakaba mpaka penati.
Ukiona chama hakina sera elewa kuwa hicho ni chama cha wahuni tu.
Upinzani wa CCM utatokea CCM. Kumbuka hilo.